Je, Wabunge hutumia vipi vipato vyao? Inakuaje Mbunge baada ya miaka 10 bado njaa inamuendesha?

Kwani hela mtu anaridhika nayo. Ingekuwa hivyo kina Abood, Shabiby, Chenge wangestaafu zamani sana.

NB: Halafu nakushangaa mwanaume unajisifia pato la 1.5 m. Ebo, hiyo si hela ya bata tu wikiendi!
Mtaje pia babako aliyemrithisha mwanaye Ubunge. Etu 1.5 mil ni hela ya bata tu!!!
 
Ubunge ni 'kazi' isiyoweza mtajirisha mtu kama wengi wanavyowaza kwa sababu zifuatazo.

1. Kuchangia shughuli za uendeshaji chama.
2. Vilio, shida na 'mizinga' ya wananchi.
3. Kampeni zinakula hela sana.
4. Kuishi maisha yenye 'hadhi ya uheshimiwa' ni gharama kubwa sana.
Hivyo, katika kipindi cha miaka mitano, unakuta mbunge anafanikiwa kuwa na mafanikio ya kiuchumi yakawaida sana. Sasa kumantain yale maisha, anajikuta anarudi tena kugombea. Ndio maana wabunge wanaulilia uwaziri.

Kimsingi ubunge ni kazi ya kuhudumia wananchi na chama chako. Pia cha kukumbuka ubunge unafaida zingine kama umaarufu, upendeleo na maslahi kadha wa kadha.
 
Kwani hela mtu anaridhika nayo. Ingekuwa hivyo kina Abood, Shabiby, Chenge wangestaafu zamani sana.

NB: Halafu nakushangaa mwanaume unajisifia pato la 1.5 m. Ebo, hiyo si hela ya bata tu wikiendi!
Wee unayo..??
iyo hela ni nyingi acha kuwatukana venye vipato vidogo ipo siku utarudi kwenye hali yao

Watu hawapendi kuishi katika hali hizi mifumo tuu mibovu ndo inayumbisha pato la watu linalopelekea umaskini
 
Hujaelewa kitu gani hapo? Mshahara wa zaidi ya milioni 10 kwa mwezi plus posho za vikao na hayo mafao ya zaidi ya milioni 200 baada ya kuhitimisha bunge kwa miaka 5 anashindwaje kupatiwa huo mkopo wa milioni 600? Pumbavu.
600m haiwezekani. Mkopo hautolewi kwankubase kwenye posho. Jamaa kakupigia realistic calculations. Bisha kwa figures.
 
Hoja ya msingi ni kwa nini mtu mwenye kipato cha ubunge anashidwa kufanya Investment akiondoka asiyumbe . Mkuu ku-inest ni tabia ya mtu kama wewe mtoa hoja unaweza kuwekeza sehemu ya pato, nadhani aina ya maisha wanayopendeea ndiyo yanawafanya wawe hivyo na kushidwa kubuni miradi. Angaia Mbowe ana mashamba na hotei mbaimbai na miradi mingine ni mfanyabiashara. Mdee kakaa bungeni miaka 15 tangu 2005 kuna mahaii anakusea kwenye kupanga maisha ya baadaye nje ya siasa.
 
Tatizo ni kutojua tu. Kazi ya Ubunge kwa Tanzania ni ya kimaskini kabisa.

Wengi wanaitaka kwa sababu inaweza kukufungulia milango mikubwa na kukupa connections za kurekebisha mambo yako.

Lakini huo mshahara baada ya makato ni kama 7m hivi. Hiyo ni pesa mbuzi kwa mtu mwenye majukumu mengi. Ukiwa mbunge kwanza kila ndugu anahisi wewe ni bilionea. Utasomesha mpaka watoto wa majirani. Ukienda jimboni ndio usiseme, kila harambee wanataka uchangie... Choo cha shule, ukuta wa kanisa umeanguka etc yaani ni balaa tupu.

Kwa ufupi title ya Ubunge inakuja na headaches ambazo haziwezi kutibiwa na 12m.
 
Hujaelewa kitu gani hapo? Mshahara wa zaidi ya milioni 10 kwa mwezi plus posho za vikao na hayo mafao ya zaidi ya milioni 200 baada ya kuhitimisha bunge kwa miaka 5 anashindwaje kupatiwa huo mkopo wa milioni 600? Pumbavu.
Mkuuu kuna mbunge anaitwa Kakunda ni mbunge wa Skonge Tabora,mjomba wake mm ni rafiki yangu sana,siku moja tupo kwake Dodoma nilimuuliza hilo swali la mshahara wa mbunge alisema mshahara kamili ni m.3 ila ukiongeza posho za kila siku zote jumla inafika m 11.5 ,kwa hiyo suala unalolosema la kuchukua mkopo mil 600 impossible ,kwa sababu hawana uwezo wa kuirudisha kwa miaka 5.
 
Hayo ya njaa wanaongea watu wengine na ni maneno tu ya kukera basi.
 
Yeye kwake ni kubwa ila kwako ni ndogo .

Alaf ingefaa hawa wabunge wawe wanalipwa milion 1 kwa mwez sidhan Kama Halima mdee angejoin huo upande wenu wa kishenz .

Sasa hizo Milion 12 kwa mwez ndio zinawachanganya hawa wajinga ukiwemo na ww unaeitaja milion 1.5 Kama hela ya bata weekend moja .

Narudia tena hii kazi ya ubunge iwe kazi ya wito tu wajitolee Kama wafanyakaz wengine wanavyojitolea ,Zaid wapewe magar ya kawaida kwa ajir ya kuzungukia mjimbo yao na mafuta wajaziwe alaf wao warambe milion 1 tu kwa mwez uone Kama Kuna mtu atahangaika na huo ubunge
kama wanavyojitolea madiwani na wenyeviti.
 
Tatizo ni kutojua tu. Kazi ya Ubunge kwa Tanzania ni ya kimaskini kabisa.

Wengi wanaitaka kwa sababu inaweza kukufungulia milango mikubwa na kukupa connections za kurekebisha mambo yako.

Lakini huo mshahara baada ya makato ni kama 7m hivi. Hiyo ni pesa mbuzi kwa mtu mwenye majukumu mengi. Ukiwa mbunge kwanza kila ndugu anahisi wewe ni bilionea. Utasomesha mpaka watoto wa majirani. Ukienda jimboni ndio usiseme, kila harambee wanataka uchangie... Choo cha shule, ukuta wa kanisa umeanguka etc yaani ni balaa tupu.

Kwa ufupi title ya Ubunge inakuja na headaches ambazo haziwezi kutibiwa na 12m.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kufuatia sakata hili la 19 ambalo ni wazi inaonesha msukumo wake ni njaa ya mapesa na anasa za Ubunge, nachelea kuhoji sasa hawa Wabunge wetu wanapanga vipi bajeti zao kutokana na mapesa wanayolipwa?

Fikiria mtu kama Halima, miaka 10 ya Ubunge lakini anakuja kuishia kujimaliza kisiasa kwa sababu ya njaa na tamaa ya mapesa ya Ubunge. Unajiuliza mtu kama huyu aliyedumu kama Mbunge kwa miaka 10 namna yake ya kuhifadhi akiba ya pesa ina nidhamu kiasi gani?

Mimi napata net income ya 1.5M na kwa mwezi naweza na ninafanya hivyo, naweka angalau 600k kama akiba na mpaka sasa nina mapesa mengi tu naweza kumkopesha Halima.

Sasa Halima ushapoteza uanachama. CCM wanakutumia kwa miaka hii mitano tu. Je, 2025 CCM hawatakutaka tena, itakuaje?

Tujadiliane hapa, hawa Wabunge wetu wanatumia vipi pesa zao ikiwa mtu kama Halima aliyetumika Bungeni miaka 10 bado amefanya kitendo hiki cha aibu ya njaa?
Swai la kimbea mbea?
 
Acha mbwembwe za kitoto ww, 1.5 ni hela ya Bata wikiendi moja tu, sio kwa biashara halali labda kama unauza unga. Hivi unadhani unaongea na mazoba wasiojua lolote?
Sure ,1.5 sio pesa ndogo, labda wenye majoka yanayotema pesa,au mapesa ya masharti kila siku zinajaa zenyewe,au wafanyao biashara haram, na wale wenyeuhakika, wa kupata 10% kupitia sehem mbali mbali mkuu
 
Mimi ni HR hizi kazi za muda mfupi siyo kazi kabisa maana zimewalemaza wengi kwa matumizi makubwa na kuishi maisha ya ghali sana, pesa inahitaji mzunguko wa kuingia na kutoka hata ni mapato madogo nikiasi Cha kujipanga na kujibana, Kuna kipindi watu walikuwa wanaacha nafasi serikalini wanakimbilia mgodini kulipwa pesa nyingi na NGO baada ya mkataba kuisha wanarudi nyumbani wanapoteza muelekeo kabisa, maana kazi za mkataba ni kazi za kutafutia mtaji tu Ila siyo ajira ya kufanya matumizi ya mtu mwenye kipato Cha juu.
umeona mbali nakusapoti mkuu
 
Kufuatia sakata hili la 19 ambalo ni wazi inaonesha msukumo wake ni njaa ya mapesa na anasa za Ubunge, nachelea kuhoji sasa hawa Wabunge wetu wanapanga vipi bajeti zao kutokana na mapesa wanayolipwa?

Fikiria mtu kama Halima, miaka 10 ya Ubunge lakini anakuja kuishia kujimaliza kisiasa kwa sababu ya njaa na tamaa ya mapesa ya Ubunge. Unajiuliza mtu kama huyu aliyedumu kama Mbunge kwa miaka 10 namna yake ya kuhifadhi akiba ya pesa ina nidhamu kiasi gani?

Mimi napata net income ya 1.5M na kwa mwezi naweza na ninafanya hivyo, naweka angalau 600k kama akiba na mpaka sasa nina mapesa mengi tu naweza kumkopesha Halima.

Sasa Halima ushapoteza uanachama. CCM wanakutumia kwa miaka hii mitano tu. Je, 2025 CCM hawatakutaka tena, itakuaje?

Tujadiliane hapa, hawa Wabunge wetu wanatumia vipi pesa zao ikiwa mtu kama Halima aliyetumika Bungeni miaka 10 bado amefanya kitendo hiki cha aibu ya njaa?
Sawa wakati tunahoji ya Halima, ni vizuri tuhoji na ya Mwepesi! Naye kakaa humo miaka mingi lakini bado anatafuta pesa kwa njia mbaya na nzuri! Ona alivyomtapeli yule mgombea wao wa Urais, hivi hii ni sawa kweli!? Mungu anamuona!
 
Back
Top Bottom