Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Mtaje pia babako aliyemrithisha mwanaye Ubunge. Etu 1.5 mil ni hela ya bata tu!!!Kwani hela mtu anaridhika nayo. Ingekuwa hivyo kina Abood, Shabiby, Chenge wangestaafu zamani sana.
NB: Halafu nakushangaa mwanaume unajisifia pato la 1.5 m. Ebo, hiyo si hela ya bata tu wikiendi!
Wee unayo..??Kwani hela mtu anaridhika nayo. Ingekuwa hivyo kina Abood, Shabiby, Chenge wangestaafu zamani sana.
NB: Halafu nakushangaa mwanaume unajisifia pato la 1.5 m. Ebo, hiyo si hela ya bata tu wikiendi!
600m haiwezekani. Mkopo hautolewi kwankubase kwenye posho. Jamaa kakupigia realistic calculations. Bisha kwa figures.Hujaelewa kitu gani hapo? Mshahara wa zaidi ya milioni 10 kwa mwezi plus posho za vikao na hayo mafao ya zaidi ya milioni 200 baada ya kuhitimisha bunge kwa miaka 5 anashindwaje kupatiwa huo mkopo wa milioni 600? Pumbavu.
Leo umetetea kwa sababu ameunga mkono juhudi,lazima ungesema hela zake zinaishia kusaganaUsisahau bajeti ya kampeni. Kampeni ni bottomless pit. Mshahara wa mbunge ni wa kawaida sana ukiangalia lifestyle zao.
Mkuuu kuna mbunge anaitwa Kakunda ni mbunge wa Skonge Tabora,mjomba wake mm ni rafiki yangu sana,siku moja tupo kwake Dodoma nilimuuliza hilo swali la mshahara wa mbunge alisema mshahara kamili ni m.3 ila ukiongeza posho za kila siku zote jumla inafika m 11.5 ,kwa hiyo suala unalolosema la kuchukua mkopo mil 600 impossible ,kwa sababu hawana uwezo wa kuirudisha kwa miaka 5.Hujaelewa kitu gani hapo? Mshahara wa zaidi ya milioni 10 kwa mwezi plus posho za vikao na hayo mafao ya zaidi ya milioni 200 baada ya kuhitimisha bunge kwa miaka 5 anashindwaje kupatiwa huo mkopo wa milioni 600? Pumbavu.
kama wanavyojitolea madiwani na wenyeviti.Yeye kwake ni kubwa ila kwako ni ndogo .
Alaf ingefaa hawa wabunge wawe wanalipwa milion 1 kwa mwez sidhan Kama Halima mdee angejoin huo upande wenu wa kishenz .
Sasa hizo Milion 12 kwa mwez ndio zinawachanganya hawa wajinga ukiwemo na ww unaeitaja milion 1.5 Kama hela ya bata weekend moja .
Narudia tena hii kazi ya ubunge iwe kazi ya wito tu wajitolee Kama wafanyakaz wengine wanavyojitolea ,Zaid wapewe magar ya kawaida kwa ajir ya kuzungukia mjimbo yao na mafuta wajaziwe alaf wao warambe milion 1 tu kwa mwez uone Kama Kuna mtu atahangaika na huo ubunge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo ni kutojua tu. Kazi ya Ubunge kwa Tanzania ni ya kimaskini kabisa.
Wengi wanaitaka kwa sababu inaweza kukufungulia milango mikubwa na kukupa connections za kurekebisha mambo yako.
Lakini huo mshahara baada ya makato ni kama 7m hivi. Hiyo ni pesa mbuzi kwa mtu mwenye majukumu mengi. Ukiwa mbunge kwanza kila ndugu anahisi wewe ni bilionea. Utasomesha mpaka watoto wa majirani. Ukienda jimboni ndio usiseme, kila harambee wanataka uchangie... Choo cha shule, ukuta wa kanisa umeanguka etc yaani ni balaa tupu.
Kwa ufupi title ya Ubunge inakuja na headaches ambazo haziwezi kutibiwa na 12m.
Swai la kimbea mbea?Kufuatia sakata hili la 19 ambalo ni wazi inaonesha msukumo wake ni njaa ya mapesa na anasa za Ubunge, nachelea kuhoji sasa hawa Wabunge wetu wanapanga vipi bajeti zao kutokana na mapesa wanayolipwa?
Fikiria mtu kama Halima, miaka 10 ya Ubunge lakini anakuja kuishia kujimaliza kisiasa kwa sababu ya njaa na tamaa ya mapesa ya Ubunge. Unajiuliza mtu kama huyu aliyedumu kama Mbunge kwa miaka 10 namna yake ya kuhifadhi akiba ya pesa ina nidhamu kiasi gani?
Mimi napata net income ya 1.5M na kwa mwezi naweza na ninafanya hivyo, naweka angalau 600k kama akiba na mpaka sasa nina mapesa mengi tu naweza kumkopesha Halima.
Sasa Halima ushapoteza uanachama. CCM wanakutumia kwa miaka hii mitano tu. Je, 2025 CCM hawatakutaka tena, itakuaje?
Tujadiliane hapa, hawa Wabunge wetu wanatumia vipi pesa zao ikiwa mtu kama Halima aliyetumika Bungeni miaka 10 bado amefanya kitendo hiki cha aibu ya njaa?
Sure ,1.5 sio pesa ndogo, labda wenye majoka yanayotema pesa,au mapesa ya masharti kila siku zinajaa zenyewe,au wafanyao biashara haram, na wale wenyeuhakika, wa kupata 10% kupitia sehem mbali mbali mkuuAcha mbwembwe za kitoto ww, 1.5 ni hela ya Bata wikiendi moja tu, sio kwa biashara halali labda kama unauza unga. Hivi unadhani unaongea na mazoba wasiojua lolote?
umeona mbali nakusapoti mkuuMimi ni HR hizi kazi za muda mfupi siyo kazi kabisa maana zimewalemaza wengi kwa matumizi makubwa na kuishi maisha ya ghali sana, pesa inahitaji mzunguko wa kuingia na kutoka hata ni mapato madogo nikiasi Cha kujipanga na kujibana, Kuna kipindi watu walikuwa wanaacha nafasi serikalini wanakimbilia mgodini kulipwa pesa nyingi na NGO baada ya mkataba kuisha wanarudi nyumbani wanapoteza muelekeo kabisa, maana kazi za mkataba ni kazi za kutafutia mtaji tu Ila siyo ajira ya kufanya matumizi ya mtu mwenye kipato Cha juu.
Sawa wakati tunahoji ya Halima, ni vizuri tuhoji na ya Mwepesi! Naye kakaa humo miaka mingi lakini bado anatafuta pesa kwa njia mbaya na nzuri! Ona alivyomtapeli yule mgombea wao wa Urais, hivi hii ni sawa kweli!? Mungu anamuona!Kufuatia sakata hili la 19 ambalo ni wazi inaonesha msukumo wake ni njaa ya mapesa na anasa za Ubunge, nachelea kuhoji sasa hawa Wabunge wetu wanapanga vipi bajeti zao kutokana na mapesa wanayolipwa?