Je, wabunge wa CCM wenye akili wametishwa kutoa maoni mkataba wa Bandari?

Je, wabunge wa CCM wenye akili wametishwa kutoa maoni mkataba wa Bandari?

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Habarini nyote,

Kuna kila ishara ya wingu la utisho mkubwa dhidi ya wabunge wa CCM wenye akili ambao kwa hakika wanajua fika huo mkataba wa Bandari ni utopolo na umangungo mtupu.

Na nadhani awamu hii huo utisho ni mithili ya mkondo wa maji ajali ya meli ya titanic.

Hadi wabunge makini wamegeuko nguchiro bubu.🤣🤣🤣

Au wanautizamia🤣🤣🤣

wana mkautizame wanamkakae🤣🤣🤣
 
Wahata waliolamba asali ya DP World wamekata pumzi baada ya magwiji kuongea kwa vifungu vya mkataba. Kesi inayoendelea Mbeya ndo kabisa imewatoa kwenye reli.
 
Back
Top Bottom