Habarini nyote,
Kuna kila ishara ya wingu la utisho mkubwa dhidi ya wabunge wa CCM wenye akili ambao kwa hakika wanajua fika huo mkataba wa Bandari ni utopolo na umangungo mtupu.
Na nadhani awamu hii huo utisho ni mithili ya mkondo wa maji ajali ya meli ya titanic.
Hadi wabunge makini wamegeuko nguchiro bubu.🤣🤣🤣
Au wanautizamia🤣🤣🤣
wana mkautizame wanamkakae🤣🤣🤣