Hivi kila aliye hamia CCM anadhani atapewa cheo kwenye Serikali au atateuliwa kuwa Mbunge? wanachama wa CCM waliokuwepo miaka yote watakuwa wamepoteza mvuto hadi hawa wageni kwenye chama wachaguliwe kuwa wabunge na wapewe nafasi ya uongozi Serikalini. sasa hapa ndio Mwenyekiti wa CCM anatafuta uhasama na wanachama wa miaka mingi.
Yetu macho
Yetu macho