Je, Wabunge Wasaliti 19 watang'olewa Bungeni?

Je, Wabunge Wasaliti 19 watang'olewa Bungeni?

Kina mama 19 sio wasaliti. Wote hao walikuwa ndugu, michepuko na wake za vigogo wa CHADEMA. Vigogo walizidiwa kete kuingiza mahawara zao wengine.
 
Kama kuna covid yeyote alikubali kupelekwa na kigogo wa chadema bungeni basi atakuwa fala sana ! Katiba ya Chadema hairuhusu jambo hilo na Halima Mdee akiwa kiongozi wa juu wa Chadema , alijua utaratibu .

Muapishe Mfungwa aliyetolewa Jela msingizie vigogo wa Chadema ! hata kama Watanzania ni mbumbumbu mzungu wa reli , ndio muwadanganye kibwege namna hii kweli !

Hivi Job Ndugai na Mahera ndio vigogo wa Chadema ?

Wale wamezungukana after kuona kila mtu anata mke wake au dem wake nae apate viti maalumu

Hapo ndio shida ilikuja but bfr walishakubali na mpaka list ya kwanza ilishatoka shida ikaja, viti vipo 19

Mbowe anataka dem wake awepo, mrema anataka dem wake awepo, mnyika anataka Demu wake peneza awepo ikaja kuonekana wale watu ambao wanaimpact kubwa kwenye chama hawapo tena

Hapo ndio shida ilianza so acheni kujidanganya kuwa kamati kuu haikutaka ubunge wa viti maalumu ni uongo
 
Back
Top Bottom