Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
enhe na huyu?,,,si waziri huyu?.serikali inakula denda?Kipara kipya huyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
enhe na huyu?,,,si waziri huyu?.serikali inakula denda?Kipara kipya huyo!
Waziri wa starehe!enhe na huyu?,,,si waziri huyu?.serikali inakula denda?
Yaani Erythrocyte anadai Magu aliiba uchaguzi wote,Cdm hawaachagi hela hata iwe ya nusu mkate.watachukua alafu watakwambia ni haki yao kikatiba ,kama ilivyotokea kwenye ruzuku.
Ndio ni haki yao ccm waliokua wengi bungeni wabadilishe wanaogopa niniCdm hawaachagi hela hata iwe ya nusu mkate.watachukua alafu watakwambia ni haki yao kikatiba ,kama ilivyotokea kwenye ruzuku.
Ruzuku ni haki yao kikatiba zile sio huruma au msaadaYaani Erythrocyte anadai Magu aliiba uchaguzi wote,
Hapo hapo, wanakubali matokeo ya kura za CHADEMA 2020 na kupokea Ruzuku.
Yaani uchaguzi ni haramu, ila ruzuku ni halali.
Pale wanalipa wabunge, hawalipi wasomiProfessor wa chuo kikuu hapati hata ml 15 Kwa mwezi,
Iweje Musukuma wa la Saba akunje zaidi ya ml 18 Kwa mwezi?
Huna hoja hapa, bali unafiki. Unaacha kushughulikia tatizo lenyewe unahangaika kutaka kuzuia matokeo yake tena kwa upande mmoja. Kwa hiyo malipo hayo yakibaki kwa wabunge wa CCM tu kwako inakuwa “problem solved”!Shida ya Watanzania tumefungwa minyororo ya uchama,
Utanzania wetu unatakiwa utangulie mbele, Vyama baadae.
HOJA ijibiwe Kwa HOJA.
Ruzuku ni HAKI Yao Kwa kura za uchaguzi halali sio haramu,Ruzuku ni haki yao kikatiba zile sio huruma au msaada
Ujinga unakusumbua sana
Ccm yenye wabunge wengi wangebadilisha sheria chadema wasipewa ruzuku
Ruzuku wanayochukua ccm ni kubwa sana ila hawalalamikiwi ila analalamikiwa chadema anayechukua kiduchu nchi hii ni kama imelogwa vile
Nchi hii wabunge wa sasa asilimia zaidi ya 99 ni ccm na rais ni ccm wanashindwa nini kuondoa ruzuku kwa vyama vya upinzani
Lakin lawama ataendelea kupewa chadema ambao haina hata wabunge wa tano wa kuchaguliwa
kwani katibu mkuu Dr slaa alikua analipwa ngapi, mashinji na JJMNYIKA analipwa ngapi 🐒Salaam, Shalom!
Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 3 tatu, Kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni part time job!!
Amen
Njooni mkiri Kwanza hizo mil.18 ndo wanazopokea? Hayo ya 2025 tutajua bàdaye.Shida ya Watanzania tumefungwa minyororo ya uchama,
Utanzania wetu unatakiwa utangulie mbele, Vyama baadae.
HOJA ijibiwe Kwa HOJA.
Kwanini nisubiri 2025 ndipo nije kuhoji?Huna hoja hapa, bali unafiki. Unaacha kushughulikia tatizo lenyewe unahangaika kutaka kuzuia matokeo yake tena kwa upande mmoja. Kwa hiyo malipo hayo yakibaki kwa wabunge wa CCM tu kwako inakuwa “problem solved”!
Subiri Mbowe na CHADEMA waingie bungeni ndipo uanzishe harakati za kuwataka wawasilishe muswada kurekebisha malipo ya wabunge. Wakikataa anzisha mada. Kuwataka wasipokee malipo yaliyopo kisheria ni kutaka kuonekana una “wivu wa kike” kama alivyobainisha mstaafu mmoja hapo kale.
Bora zaidi, jiunge nao kupambania katiba mpya itakayombana Rais na serikali yake katika masuala maxima ya ufujaji wa fedha za umma. CHADEMA wako very clear kwenye hilo ila wafuasi wa CCM hawataki bali wanang’ang’ania mambo ambayo wanaona ndiyo yataidhoofisha CDM kihali na kiutendaji comparatively huku CCM ikiendelea kuimarika kwa ufisadi uliokithiri kama mada hii ilivyolenga. Ni unafiki mtupu! Total dishonesty!
Mimi sio Serikali,Njooni mkiri Kwanza hizo mil.18 ndo wanazopokea? Hayo ya 2025 tutajua bàdaye.
Tangu bunge la vyama vingi kuanza 1995,Hoja ya mbowe ni kuwa wabunge wameongezewa fedha bila sisi wananchi kufahamu uku wafanyakazi wengine ikiwa wameongezewa 8000 mpaka 18000
Uchache wao Si HOJA,Ndio ni haki yao ccm waliokua wengi bungeni wabadilishe wanaogopa nini
Chadema mara nyingi wako wachache sana na hawana uwezo wa kubadilisha kitu
Na ukisharudisha huku wabunge wa-ccm zaid ya asilimia 90 wanachukua inamaana ganiUchache wao Si HOJA,
Kugomea mshahara mbona ni jambo dogo sana,
Unasuburi mshahara umeingia, unautoa, Kisha unaitisha press na kuandika cheki hadharani hurudisha kiasi kilichozidi hazina.
Kuna mbumbumbu awezaye kutunga Sheria?Pale wanalipa wabunge, hawalipi wasomi
Unahoji tu pale tu chadema wanapotumia ila ni sawa kwa ccm walioko asilimia zaidi ya 90 wakichukua mshaharaKwanini nisubiri 2025 ndipo nije kuhoji?
Kwakuwa CDM ndio chama mbadala kinachoaminiwa na wananchi,
Mishahara na posho za wabunge ni jambo linalogusa Walipa Kodi.
Wananchi tuna HAKI ya kuhoji matumizi mazuri ya Kodi zetu.
Hoji chanzo cha tatizo. Sasa hapa unahoji watu ambao hawako serikalini wala bungeni? Unahoji uongozi wa CHADEMA kuhusu matumizi ya kodi zako? Halafu unauliza swali la kinadharia wakati kodi zinafujwa in real time? Be serious please.Kwanini nisubiri 2025 ndipo nije kuhoji?
Kwakuwa CDM ndio chama mbadala kinachoaminiwa na wananchi,
Mishahara na posho za wabunge ni jambo linalogusa Walipa Kodi.
Wananchi tuna HAKI ya kuhoji matumizi mazuri ya Kodi zetu.