- Thread starter
- #41
CCM imeshathibitika Si chama tena chenye dira,Na ukisharudisha huku wabunge wa-ccm zaid ya asilimia 90 wanachukua inamaana gani
Ndio maana hatupotezi muda kujadili hapa.
Mategemeo yetu ni CDM chama mbadala, kitupe wananchi tumaini kuwa, wao wakipewa nafasi, watahakikisha wabunge wanapunguziwa mishahara isizidi 5 ml Kwa mwezi,
Ili pesa zinazobaki, ziende mashuleni, watoto wapate hata kikombe kimoja Cha uji utolewao na Serikali kupitia Kodi za wananchi.