- Thread starter
- #81
Kigwangala anaweza kukataa pesa hiyo Kwa maslah ya umma?Ukiambiwa Mbowe ni msela tu anadanganya wenzake,hakuna wa kuacha Ml.18 la sivyo chama kitapasuka,akina Mwakajoka huwaambii kitu aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigwangala anaweza kukataa pesa hiyo Kwa maslah ya umma?Ukiambiwa Mbowe ni msela tu anadanganya wenzake,hakuna wa kuacha Ml.18 la sivyo chama kitapasuka,akina Mwakajoka huwaambii kitu aisee
CCM hii mada haiwahusu,Ndio shida ya Lema,anaivizia hiyo pesa kwa hali na Mali,fikiria aikunje ml.18 kwa miaka mitano ni kama B.kadhaa
Ikiwa wewe Si mbunge simamia maslah ya Wananchi Si chama,Una matatizo ya akili nadhani. Mbowe alichofanya ni kuhabarisha Umma kujua wawakilishi wetu wanaishije huko Bungeni. Kuna shida gani wewe na wengine kupata hiyo taarifa?! Kama taarifa imekuuma ndo uwauliza hao waliojiongezea. Shida iko wapi?
Eti nyie ndio mnahubiri Demokrasia,kwenye uzi tu unaweka vikwazo kwa wenzako,Chadema mna safari ndefu sana,ndio Mbowe na Lema wamewaibia pesa za Join the chain.CCM hii mada haiwahusu,
Malizeni kuwapa mikataba wafanyakazi wa Bandari wajue ikiwa watatoboa kupitia DP world!!
Waitishe mkutano kutangaza hawatapokea hiyo hela?2025 ni uchaguzi ujue,
CHADEMA haiamrishwi hapa, inapewa mbinuu ya kushinda wabunge wengi kirahisi,
Imagine CHADEMA ukisema kuwa Wabunge wake wakichaguliwa, watakataa posho ya ml 18, milioni 5 Kwa mwezi inatosha.
Watapata kura nyingi sana.
Mishahara mikubwa ya wabunge na Watumishi wa Serikali ndio ealetao Mzigo mzito Kwa wananchi,Waitishe mkutano kutangaza hawatapokea hiyo hela?
Kwani uchaguzi unawafaidisha wao ama wananchi walioko shimoni kwa sasa?
Wewe na ndugu zako bima ya afya haijawagusa?
SUBIRI MMEO ama mwanao apate ugonjwa wa FIGO na ahitaji dialysis ndio utakumbuka ujinga uanaoandika hapa as if watu wanagombea mishahara badala maisha ya kila mtu.
Hawezi kukataa nahakika..Kigwangala anaweza kukataa pesa hiyo Kwa maslah ya umma?
WAbunge wote ni ndugu zangu kasoro wale ambao si watanzania na wameingizwa kinyemela .Mishahara mikubwa ya wabunge na Watumishi wa Serikali ndio ealetao Mzigo mzito Kwa wananchi,
Matumizi Yao makubwa, ndiyo chanzo Cha kukosekana Kwa madawa hospitalini?
Mbona umefura sana ndugu?
Una ndugu mbunge ambaye hukutumia chochote?
Pale bandarini mlisema kuwa wale wafanyakazi wote hawatapoteza ajira?Eti nyie ndio mnahubiri Demokrasia,kwenye uzi tu unaweka vikwazo kwa wenzako,Chadema mna safari ndefu sana,ndio Mbowe na Lema wamewaibia pesa za Join the chain.
Wewe unaona ni sawa bodaboda anayelaza 10 Kwa siku, amlipe mbunge mshahara wa 18 ml Kwa mwezi,WAbunge wote ni ndugu zangu kasoro wale ambao si watanzania na wameingizwa kinyemela .
Wewe endelea na ngonjera zako!
Anataka amshushie lawama mleta taarifa tuna kizazi cha hovyoUna matatizo ya akili nadhani. Mbowe alichofanya ni kuhabarisha Umma kujua wawakilishi wetu wanaishije huko Bungeni. Kuna shida gani wewe na wengine kupata hiyo taarifa?! Kama taarifa imekuuma ndo uwauliza hao waliojiongezea. Shida iko wapi?
Tukubali uwezo wa watanzania ni mdogo sanaKwahiyo unaiamrisha CHADEMA ambayo haina mbunge wala waziri badala ya kumuamrisha aliyeko madarakani?
Mamlaka ya vyama vya siasa yanatoka wananchi? Kwahiyo ACT "nyie wananchi" ndio mmeiambia iungane na CCM kupinga katiba mpya?
Mmeviambia vyama vingine 18 vilivyobaki vifanye hivyo kama unavyoiamrisha CHADEMA kutokea hapo KUMBATO GUEST HOUSE?
Mbowe ameleta taarifa, tunamshukuru,Anataka amshushie lawama mleta taarifa tuna kizazi cha hovyo
Mbowe amesha-play his party ni wajibu wa wananchi kuchukua hatua
Unagomeaje kitu ambacho kipo kisheriaMbowe ameleta taarifa, tunamshukuru,
Baada ya kupokea taarifa na kuichakata kichwani,
Ndipo swali hili linakuja,
Kwamba 2025 tuna uchaguzi wa wabunge, na CHADEMA itasimamisha wagombea ubunge Nchi nzima,
Ikitokea wabunge wa CHADEMA wamechaguliwa, je watapokea huo mshahara wa ml 18 Kwa mwezi au wataugomea?
Kosa liko wapi hapo kuhoji kama Mwananchi?
Mamlaka ya bunge ya atoka Kwa wananchi.Unagomeaje kitu ambacho kipo kisheria
Umeridhia na naniMamlaka ya bunge ya atoka Kwa wananchi.
Wananchi lini tumeridhia mshahara wa mbunge ufike hata ml 5 Kwa mwezi?
Yaani kinyozi mwenye kupata 10,000 Kwa siku, amepata wapi uwezo wa kulipa mbunge kiasi chote hicho Cha pesa Kwa ridhaa yake?
Kwahiyo bibi Yako kijijini aliridhia lini mbunge alipwe ml 13 Kwa mwezi?Umeridhia na nani
Maoni yako binafsi unasema ni ya wananchi
Wewe ndiye unayetoka povu. Badala ya kutumia akili unatumia fake emotions. Wala dhiki ya masikini wa Tanzania huijui.Wewe ni mbunge, au uliwahi kuwa mbunge?
Mbona umetokwa povu sana?
Unajua milioni 18 tunataka watu maskini ambao hata kupata Milo mitatu Kwa siku ni taabu?
Hiyo ni agenda ya ACT Wazalendo. Adui yao mkuu ni CHADEMA si CCM.Tukubali uwezo wa watanzania ni mdogo sana
Mtu anailaumu chadema ambayo haina mbunge huku ccm wakiendelea kuitafuna nchi
Natania tu mkuu, hata mimi nachukua! Mahela yenyewe haya ya serikali! Wacha watu wale kwa urefu wa kamba zao.Si Rahisi kuwagomea wabunge,
Tupambanie KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi.