Pre GE2025 Je, wabunge watakaoshinda kupitia CHADEMA 2025 watagomea mshahara wa Milioni 18 kwa mwezi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Eti nyie ndio mnahubiri Demokrasia,kwenye uzi tu unaweka vikwazo kwa wenzako,Chadema mna safari ndefu sana,ndio Mbowe na Lema wamewaibia pesa za Join the chain.
Mngekuwa mnajua maana ya DEMOKRASIA, msingeiba kura.
 
Kwahiyo CHADEMA 2025 haitapata mbunge hata mmoja 2025?

Na kuhoji ikiwa atapokea mshahara wa ml 18 Kuna kosa Gani?

Pia ujue mm siko chama Cha waiba kura,

Mimi ni Mtanzania huru nisiyefungwa na minyororo ya uchama, ni mzalendo wa Nchi yangu.

Wewe una maslah na fursa zitokanazo na ubunge?

CHADEMA lazima tuhoji Ili tujue ikiwa wamedhamiria kuongoza nchi Kwa HAKI, au nao ni wale wale.
 
Ikiwa huoni mantiki kwenye mada hii umeamua kutoiona,

Na ujue HAKIKA kuwa Rabbon hawezi kuwa chama kimoja na Zittow ndumilakuwili.
 
Unamaanisha kauli ya Mh Mbowe ni ya kisiasa zaidi,

Tuipuuze?
Mimi sidhani kama wakiwa bungeni wanapaswa kuigomea mishahara hiyo, bali wanapaswa kufanya ni kupambania sheria hiyo inayotoa mishahara mikubwa tofauti na kada zingine muhimu kama udaktari, uhandisi nk.
Na jambo hilo walikuwa wanalipigia kelele sana walipokuwa bungeni na kutaka watumishi nao wakumbukwe! Tusijitoe ufahamu kwa hizi propaganda za ccm kwani hawa wapinzani wamekuwa wakitupambania sana katika hilo.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA watataka uongezwe hadi 20m. Huyo Mbowe ni uchungu tu ulimpata kwa kuzikosa hizo 18m. Kipindi Zitto anakataa kupokea posho hao CHADEMA walimshambulia sana na kudai kuna taasisi ya nje inamlipa hela nyingi zaidi. Mtu kama Lema ambaye huchukulia mikopo huo mshahara wa bunge na kuingiza kwenye biashara zake anawezaje kukataa mshahara usiongezwe?
 
Pale bandarini mlisema kuwa wale wafanyakazi wote hawatapoteza ajira?

Nini kinaendelea hv sasa?
Unajua maana ya kupoteza ajira? Wamepewa fursa ya kuhama au kuajiriwa DP World, hivi Chadema huwa mnasoma vitu kweli,au mnapotosha makusudi?
 
Mtu analipwa hela kibao kwakupitisha asichokijua. Lugha hajui halafu eti anapitisha muswada.
Eti akisema ndioooooo ndio imeenda hiyo yaaaani imeeendaaaaa. Inaenda kusainiwa iwe sheria.
Walipwe laki tisa kama polisi walimu na manesi
 
CHADEMA kama chama kikuu, chama mbadala,

Itoke na kusema wazi,

Upi Hasa unatakiwa kuwa mshahara wa mbunge,

Mimi nionavyo,

Mbunge hapasi kulipwa zaidi ya ml 3,
Najua chawa mnaumia sana maana kama zikipunguzwa tu na kazi zenu humu mtandaoni zitakuwa kwishney. Sijui ni kwa nini chawa wa ccm wamekasirishwa na kauli ya mbowe kiasi hiki
 
Najua chawa mnaumia sana maana kama zikipunguzwa tu na kazi zenu humu mtandaoni zitakuwa kwishney. Sijui ni kwa nini chawa wa ccm wamekasirishwa na kauli ya mbowe kiasi hiki
Jibu HOJA,

Usiniujumuishe kwenye chama kinachoiba kura.
 
Muulize mleta mada, hii inchi ni yetu sote, Kila mtu anayeumizwa na tatizo hili ni jukumu lake kutafuta namna ya kulitatua. Kwa kuwa ameliona tatizo na anafikiri wa kulitatua ni chadema, basi naye ajiunge na chadema, agombee ubunge, apambane na kukataa wizi huu.
 
Mtu analipwa hela kibao kwakupitisha asichokijua. Lugha hajui halafu eti anapitisha muswada.
Eti akisema ndioooooo ndio imeenda hiyo yaaaani imeeendaaaaa. Inaenda kusainiwa iwe sheria.
Walipwe laki tisa kama polisi walimu na manesi
Walipe Laki tisa😳
 
Kwa mtazamo wangu concept yake ilikuwa inalenga ni kwa namna gani viongozi wabinafsi, wanajiongezea wao mishahara ili hali watumishi wa umma kama walimu, madoctor, askari n.k kilio chao cha muda mrefu hakifanyiwi kazi
 
Kusema CCM wanaiba kura ni kuwatukana,

Au ndio kusema ukweli mchungu!!
Unaona maneno anayotumia yule bilionea wenu Jacob dhidi ya ACT? Kama mnaona ACT inakufa achaneni nayo tuu ijifie si kutumia maneno kama yale,nyie jengeni chama mbona mlipofika CHADEMA ni pakubwa tuu
 
Wanahamia wote sio?
Umebadili swali tena aisee chadema bana, pale ni kuwa wanaoona inafaa watahamia bandari nyungine,ikishindikana wataacha walipwe mafao au waajiriwe na waliopewa kuendesha bandari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…