Pre GE2025 Je, wabunge watakaoshinda kupitia CHADEMA 2025 watagomea mshahara wa Milioni 18 kwa mwezi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Simple answer; wakiwa wengi zaidi ya wabunge 50% watapinga kwa kanuni kupungua kwa mishahara

Wananchi Tulazimishe Mazingira ya kupata wabunge wa upinzani above 50% n
Mambo yakuwa mazuri
Nitaukubali ila utahudumia jamii zaidi,katika maendeleo yao na kutengeneza ajira kwa vijana.
 
Wapinzani wakitaka kushinda majimbo waahidi yafuatayo kwenye ilani yao
1. kuondoa ufisadi nchini na kupunguza matumizi yakiwemo ya posho na mishahara ya wabunge, kuondoa mashangingi,safari za nje zenye kufuja uchumi
2.kuleta uwiano mzuri wa kodi na kushughulikia mifumo yake ili ilete motisha ya kulipa kodi rafiki
3.kulinda raslimali za nchi zisiporwe. Nchi hii ni tajiri kwa kauli ya Magufuli. he was correct
4.Bima ya afya rafiki na endelevu
5.Katiba mpya na kuondoa sheria zote kandamizi,utekaji wananchi na muundo mzuri wa serikali wenye uwakilishi bora na matumizi mabaya ya madaraka
6. Elimu bure chekechea hadi chuo kikuu
7. Mazao ya kilimo kuuza nje na kujitosheleza ndani
8 kupanua wigo wa kujieleza hususani uhuru wa vyombo vya habari
9.kuimarisha vyombo vya ulinzi kiutendaji,maslahi na kuondoa kabisa kikokotoo kandamizi ambacho bado hakija kaa vizuri hususani kwenye vyombo vya ulizi na usalama
10 miundo mbinu ya barabara,viwanja vya michezi,maji na viwanja vya ndege- kujengwa kwa awamu kwa kuzingatia uwezo wetu kifedha. Suala la Kuondoa maisha magumu kwa wananchi,kwavipi elezeni kwa ufasaha mikihusisha na kushindwa kwa sera za sasa!
Haya mkiyaeleza vizuri kwa kuoaninisha kwa umakini na failure za sasa tutawasikiliza.Mna maeneo mengi ya kujieleza kisera lakini hamyaibui na kuyahusisha na maisha ya kila siku ya wananchi. Mnatumia muda mwingi kumsema Magufuli na kujenga fikra na mtizamo wa watanzania kuwa kwenu mtu binafsi ni tatizo na siyo sera,mifumo na chama kilichopo mafarakani hapo mna fail mno. mtaishia wabunge 5 tu. Mchana mwema.

1
 
Salaam, Shalom!

Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 5 tano kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa ,maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni seasonal job!!

Inakadiriwa, makusanyo ya Serikali kupitia Kodi na vyanzo vingine vya mapato havizidi bil 900 Kwa mwezi, Kwa mshahara wa wabunge 399 kulipwa ml 18 Kwa mwezi, Serikali italipa Billion takriban 7 Kwa mwezi, hao ni wabunge pekee,

Tukilipa watumishi wote wa Serikali mishahara na stahiki zao Kwa mwezi, ni dhahiri kulingana na makusanyo madogo, italazimika Serikali kukopa pesa Ili kujazia ulipaji wa watumishi wa Serikali,pesa za ndani haxitatosha kulipa mishahara.

CHADEMA ilikuwa na wabunge wengi tu tangu 2000, 2005,2010, 2015 na wakapungua Hadi mbunge mmoja 2020.

CHADEMA ilipokuwa bungeni tangu awali, hawakuwahi hata siku moja kugomea posho na mishahara ya wabunge wao bungeni zaidi ya kusema mishahara na marupurupu hayo ni kiduchu kulingana na hadhi ya mbunge.

Sasa Kwa kuwa Mwenyekiti Mbowe ameamka Kutoka usingizini na kuonyesha kukerwa na wabunge kuongezewa posho na marupurupu Yao Kutoka ml 13 Hadi ml 18 Kwa mwezi, naungana naye kupinga ubadilifu mkubwa wa Kodi za wananchi,

Na Kwa kuwa CHADEMA imetoa kauli kuwa itashiriki uchaguzi 2025, na Kwa kuwa itasimamisha wagombea ubunge Nchi nzima,

Na Kwa kuwa CHADEMA Ina uwezekano wa kushinda ubunge katika majimbo kadhaa nchini,

Je, wabunge watakaoshinda ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA 2025 watagomea kupokea posho na marupurupu yanayofikia 18 ml Kwa mwezi?

NB: Vyama, viwekwe pembeni, walipakodi tujadili kwanza maslah ya nchi, Hasa matumizi mazuri ya Kodi zetu,

Swali: Upi Hasa uwe mshahara na marupurupu ya mbunge Kwa mwezi kulingana na makusanyo yetu kupitia Kodi?

ANGALIZO: Ni muhimu wananchi Kwa UMOJA wetu tupambanie KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote, vyama vya siasa na wanasiasa hawaaminiki.

Karibuni🙏

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Mungu ibariki CHADEMA.

Amen
Mshahara upo kisheria, wakipinga na bunge likapitisha mabadiliko sawa, ila siyo utoto wa kusema huchuki mshahara wakato unaingia kwenye akaunti, usitake kufananisha mbunge na kibarua wa kuzibua mitaro hapo matombo anayelipwa cash kila siku, kibarua anaweza kugomea mshahara ila mwajiriwa mshahara unapita kwenye akaunti.
 
CHADEMA kama chama kikuu, chama mbadala,

Itoke na kusema wazi,

Upi Hasa unatakiwa kuwa mshahara wa mbunge,

Mimi nionavyo,

Mbunge hapasi kulipwa zaidi ya ml 3,
Hapa nakubaliana nawe kabisa.
CHADEMA kinatakiwa kutoka hadharani na kuweka msimamo wa chama juu ya mshahara wa mbunge na stahiki nyinginezo.
 
Ndio shida ya CDM na wanasiasa wengi wa Tanzania wanawaza mishahara ya ubunge na wanadhani wote (tumetokea familia maskini) jamani kuna wengine sio wenzetu kwenye kugombea ubunge.

Kuna mada nilisoma majuzi ya CDM inadai Salum Mwalimu anamuonya Priscus Tarimo atunze posho yake ubunge 2025 asahau Moshi mjini.

Ilibidi nicheke Priscus kwake siasa anaamini ni wito na anaipenda CCM kufa kutoka moyoni kwa kuamini anaweza peleka mabadiliko moshi mjini.

Lakini Priscus yupo vizuri kabla ya kuutwa ubunge. Yupo hapo kwa mapenzi ye chama cha mapinduzi na kujaribu kuiendeleza moshi mjini.
 
Nani amekwambia Priscus anapenda CCM, yupo kuficha na kulinda biashara za baba yake mzee Jacob Tarimo, hasa hoteli yao Moshi Leopard na Maduka ya Moshi Drapers pale double Road na si lingine.
Wan bureau De Change ulizia kama hujui ilifanywa nini na Magufuli.
Mengine msiwe mnaongea mtavuliwa taulo ukweni.
 
Salaam, Shalom!

Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 5 tano kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa ,maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni seasonal job!!

Inakadiriwa, makusanyo ya Serikali kupitia Kodi na vyanzo vingine vya mapato havizidi bil 900 Kwa mwezi, Kwa mshahara wa wabunge 399 kulipwa ml 18 Kwa mwezi, Serikali italipa Billion takriban 7 Kwa mwezi, hao ni wabunge pekee,

Tukilipa watumishi wote wa Serikali mishahara na stahiki zao Kwa mwezi, ni dhahiri kulingana na makusanyo madogo, italazimika Serikali kukopa pesa Ili kujazia ulipaji wa watumishi wa Serikali,pesa za ndani haxitatosha kulipa mishahara.

CHADEMA ilikuwa na wabunge wengi tu tangu 2000, 2005,2010, 2015 na wakapungua Hadi mbunge mmoja 2020.

CHADEMA ilipokuwa bungeni tangu awali, hawakuwahi hata siku moja kugomea posho na mishahara ya wabunge wao bungeni zaidi ya kusema mishahara na marupurupu hayo ni kiduchu kulingana na hadhi ya mbunge.

Sasa Kwa kuwa Mwenyekiti Mbowe ameamka Kutoka usingizini na kuonyesha kukerwa na wabunge kuongezewa posho na marupurupu Yao Kutoka ml 13 Hadi ml 18 Kwa mwezi, naungana naye kupinga ubadilifu mkubwa wa Kodi za wananchi,

Na Kwa kuwa CHADEMA imetoa kauli kuwa itashiriki uchaguzi 2025, na Kwa kuwa itasimamisha wagombea ubunge Nchi nzima,

Na Kwa kuwa CHADEMA Ina uwezekano wa kushinda ubunge katika majimbo kadhaa nchini,

Je, wabunge watakaoshinda ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA 2025 watagomea kupokea posho na marupurupu yanayofikia 18 ml Kwa mwezi?

NB: Vyama, viwekwe pembeni, walipakodi tujadili kwanza maslah ya nchi, Hasa matumizi mazuri ya Kodi zetu,

Swali: Upi Hasa uwe mshahara na marupurupu ya mbunge Kwa mwezi kulingana na makusanyo yetu kupitia Kodi?

ANGALIZO: Ni muhimu wananchi Kwa UMOJA wetu tupambanie KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote, vyama vya siasa na wanasiasa hawaaminiki.

Karibuni🙏

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Mungu ibariki CHADEMA.

Amen
Kwa uzalendo walionao Chadema hawatakuwa tayari kupokea kiasi hicho cha Mshahara! Ahahahahaha!!!
 
Mshahara upo kisheria, wakipinga na bunge likapitisha mabadiliko sawa, ila siyo utoto wa kusema huchuki mshahara wakato unaingia kwenye akaunti, usitake kufananisha mbunge na kibarua wa kuzibua mitaro hapo matombo anayelipwa cash kila siku, kibarua anaweza kugomea mshahara ila mwajiriwa mshahara unapita kwenye akaunti.
Upinsimamo wa CDM kuhusiana na mshahara wa mbunge?

Wananchi tunaona, ml 18 kumlipa mbunge, ni matumizi mabaya ya pesa za umma.

Wananchi tunaona mshahara sahihi wa mbunge usizidi ml 5 pekee, Diwani pia alipwe hata ml 2 Kwa mwezi.

Yepi maoni Yako?
 
Nyie mnaojiita "wananchi"mnatumia kigezo gani kupima ukubwa wa huo mshahara?

Mshahara wa Rais, WAziri mkuu ubaki huo huo au nao uguswe?
 
Nani amekwambia Priscus anapenda CCM, yupo kuficha na kulinda biashara za baba yake mzee Jacob Tarimo, hasa hoteli yao Moshi Leopard na Maduka ya Moshi Drapers pale double Road na si lingine.
Wan bureau De Change ulizia kama hujui ilifanywa nini na Magufuli.
Mengine msiwe mnaongea mtavuliwa taulo ukweni.
Wewe una personal issues na Priscus maana umeweka mambo luluki ambayo hayasuani na nilichosema.

Rudi nyuma usome point yangu vizuri, utaona unachosema na nilichoandika ndio kiłę kiłę kwa lugha nyingine.

Salum Mwalimu (kwenye mada nyingine) anadai Priscus Tarimo hatoshinda ubunge 2025 hivyo asitumie posho za bunge maana hatoshinda 2025. Ndio nikaeleza huyo nwenzetu sio njaa otherwise namjua na Kaka yake Richard.

Hila hiyo sio issue hapa, binafsi nimeshangaa Priscus kukosa hata unaibu waziri na miakili yake.
 
Kila ninalo andika naambiwa nian personal issue.
Lete habari ya yeyote nitakwambia, be ita Boi SAfi, Ibra Shayo , Dalali Juma Raib na wengineo.
 
Nyie mnaojiita "wananchi"mnatumia kigezo gani kupima ukubwa wa huo mshahara?

Mshahara wa Rais, WAziri mkuu ubaki huo huo au nao uguswe?
Mada inaongelea mbunge.

Ukipunguza mshahara wa mbunge, automatically waziri na Rais utashuka pia.

Wabunge ni wabadhirifu wa pesa za umma, tawala Kwa upinzani Kwa kujipangia mshahara usioridhiwa na wananchi!!
 
Hayo ni mawazo yako ya shule za kata !
Sheria inayosimamia mshahara wa Rais na Wabunge na Madiwani ni sheria moja?
Kuna mambo mengine kama hujui uliza, jifunze, kaa na wakubwa acha kukaa vijiwe vya ghahawa na kila kitu kujadili kwa mihemko.
 
CCM chama na Priscus Tarimo anatosha.

Hayo majina mengine yako.
1. Ibra Shayo[Ibra line].
2. Boi Safi .
3. Eng Mayor anayeishi Arusha.
4. Said Mwema.
5. Mzee Mgonja.
6. Prisscus.

Kumbuka Priscus hakushinda hata kura za maoni wala ubunge, ni wale wa bunge wa "Mja-zake"
 
Ndugu acha personal attacks, Priscus amekuwa diwami wa móshi mjini kwa miaka mingi tu.

Na hata akikosa ubunge wa Moshi mjini sio swala litakalo mnyima usingizi, siasa kwake ni political ambitions tu. Iła sio kwa sababu ya kuendesha maisha.

Miaka mingapi Priscus ameridhika na udiwani wa Moshi mjini? Priscus hafanyii siasa njaa Iła maendeleo ya Moshi mjini,

Embu acha majungu
 
Ndugu acha personal attacks, Priscus amekuwa diwami wa móshi mjini kwa miaka miaka mingi tu.

Na hata akikosa ubunge wa Moshi mjini sio swala litakalo mnyima usingizi, siasa kwake ni political ambitions tu. Iła sio kwa sababu ya kuendesha maisha.

Miaka mingapi Priscus ameridhika na udiwani wa Moshi mjini? Priscus hafanyii siasa njaa Iła maendeleo ya Moshi mjini,

Embu acha majungu
MUDA aliokuwa diwani wa kata ya Longua alikuwa anataka ubunge ila alikuwa anakosa na si mwanasiasa, hajui kuongea wala hajui afanyalo.
Hana tofauti na Ndakidemi na Mkenda.
Ona huruma kwa ndugu zako hapo njoro ya dobi, mwenzio anaishi nyumba za uridhi za mzee jacob shanty town, haya endelea.
 
Siju hizi wafanya maovu wanapambania kua wabunge ili walinde maovu na biashara zao chafu.
Na vile una maokoto ya kutosha basi gharama za anazotumia kwenye kampeni atazirudisha akiwa mbunge na faida juu.

Ilitakiwa iwe na malipo ya kawaida tu, chini ya 3M.
 
MUDA aliokuwa diwani wa kata ya Longua alikuwa anataka ubunge ila alikuwa anakosa na si mwanasiasa, hajui kuongea wala hajui afanyalo.
Hana tofauti na Ndakidemi na Mkenda.
Ona huruma kwa ndugu zako hapo njoro ya dobi, mwenzio anaishi nyumba za uridhi za mzee jacob shanty town, haya endelea.
Acha kuwa-judge na kuwapa labels watu kutokana na background zao.

Personal Priscus ashinde au ashindwe uchaguzi wa 2025 sikosi usingizi.

Lakini usiwaondelee watu credibility zao kwa sababu żako. Kitu ambacho tunakubaliana hata bila ya ubunge halali njaa.
 
Back
Top Bottom