Je, wachawi wanao uwezo wa kusoma document zetu za siri?

Je, wachawi wanao uwezo wa kusoma document zetu za siri?

umeshatapeliwa wewe na aliekutapeli anakudanganya kuwa password zimechukuliwa kichawi!.. mkuu Kama mizimu tu imekosa kazi ikaanza kuponda watu mawe hao wachawi hata password hawazijui..🤣😂

Uafrika raha Sana.
 
Yaani wao wanacheza na ulimwengu wa roho, matokeo yake wewe unafanya mambo katika ulimwengu unaonekana kwa macho ya kawaida, haya mambo yanaweza kuwa ulevi, usinzi, wivu,hasira,huzuni, kibri,majivuno, madharau, unatumia hela hovyo bila kuwa na mpangilio nk
 
wako kwenye spiritual form, hivyo wanaweza kuacces vilivyo in spirit tu. Documents, ATM na vitu vingine viko in physical world, ili spirit iweze kufanya kazi kwenye physical world itahitaji mwili (umbo). Mwili ukiwa na spirit unaweza fanya kazi kwenye both spiritual na physical world lkn ATM, documents haina spirit hivyo vinatumika tu kwenye physical world. Namaanisha nini, kuna level ya uchawi unaweza ukawa invincible lkn ATM card lazima itaonekana coz haina spirit ya kuweizesha kualign na laws of universe
 
Back
Top Bottom