Kwanza Mbona unajichanganya mwenyewe, umesema Mungu hawezi kumfanya shetani kuwa malaika(japo asili ya shetani ni malaika kwa sababu Mungu hajawahi kuumba kiumbe kinaitwa shetani) lakini hapo unajisifu kwa Mungu wako ambaye anaweza kila kitu kiasi cha hadi yeye kujigeuza binaadamu ila kwenye kufanya shetani kuwa malaika unakubali hilo hawezi.Mungu hawez akamfanya shetan ni Malaika chief. akishasema harud nyuma. coz anauona mwisho kabla ya mwanzo. so huyo ni Mungu wenu sio huyu tunaemjua. ni kama vile mnavyoamin Mungu anaweza kila kitu lakin hawez akawa mwanadam. utashangaa mbona hamueleweki!
TakbirKoroani haijaacha kitu,ipo wazi hajazuiwa kutumika kwa matumizi mengine zaidi ya kitoweo,kwa tiba anatumika vizuri tu.
Wabilahi tawfiq
Haijaacha kitu katika vitu gani hivyo? ndio maana nilitaka kushangaa mbona sijawahi kusikia waislamu wakidai hivyo ulivyosema wewe.wanasema Qur'an haijacha kitu wich means hata Tik tok Qur'an imeizungumzia.
umeongea nini sasa. hebu soma ulichoandika.Kwanza Mbona unajichanganya mwenyewe, umesema Mungu hawezi kumfanya shetani kuwa malaika(japo asili ya shetani ni malaika kwa sababu Mungu hajawahi kuumba kiumbe kinaitwa shetani) lakini hapo unajisifu kwa Mungu wako ambaye anaweza kila kitu kiasi cha hadi yeye kujigeuza binaadamu ila kwenye kufanya shetani kuwa malaika unakubali hilo hawezi.
Kwahiyo Dini ya Mungu ni ipi? na kama ana dini yake kwanini ameruhusu watu wote aliowaumbwa kuzaliwa kwenye tamaduni tofauti tofautiSasa Mungu utamjua vipi bila ya kuleta dini yake ? Ata vyama vina kadi ili kuwajua wanachama wake jmni mambo mengine hayahitaji akili kubwa kuyajua ni ufahamu wa kawaida tuu unahitajika
Kama hujaelewa basi ni kwa sababu nimekuonesha ni vp ulichoniandikia wewe ilikuwa unajichanganya hata wewe mwenyewe, kuna vitu vingapi vilikuwa haram vikaja kuwa halali na halali vikawa haram kwenye biblia ila ajabu wewe unasema Mungu unayemjua wewe hawezi kufanya hivyo.umeongea nini sasa. hebu soma ulichoandika.
Duh! sasa swali gani hilo?Kwahiyo Dini ya Mungu ni ipi? na kama ana dini yake kwanini ameruhusu watu wote aliowaumbwa kuzaliwa kwenye tamaduni tofauti tofauti
Duh! sasa swali gani hilo?
Sijaelewa hapo unavyosema kama Mungu ana dini et kwanini kawaachia watu wawe na kwenye dini zengine?Dini ya Mungu ni ipi? hujaelewa nini hapo
Mungu akishasema weweKwanza Mbona unajichanganya mwenyewe, umesema Mungu hawezi kumfanya shetani kuwa malaika(japo asili ya shetani ni malaika kwa sababu Mungu hajawahi kuumba kiumbe kinaitwa shetani) lakini hapo unajisifu kwa Mungu wako ambaye anaweza kila kitu kiasi cha hadi yeye kujigeuza binaadamu ila kwenye kufanya shetani kuwa malaika unakubali hilo hawezi.
Biblia hutakaa uijue chief maana iko kiroho na wewe unasoma kawaida. tofaut ya Waislam na Wakristo ni kwenye Roho. nikuuliza swali dogo inakuwaje Mungu Muweza wa kila kitu anakuwa hawez kuwa binadam.Kama hujaelewa basi ni kwa sababu nimekuonesha ni vp ulichoniandikia wewe ilikuwa unajichanganya hata wewe mwenyewe, kuna vitu vingapi vilikuwa haram vikaja kuwa halali na halali vikawa haram kwenye biblia ila ajabu wewe unasema Mungu unayemjua wewe hawezi kufanya hivyo.
Sijaelewa unavyosema kama Mungu ana et kwanini kawaachia watu wawe na dini zengine?
Umepigwa knockoutwewe akili zako unazijua mwenywe ata sibishani na ww
Wewe hujielewi kama huelewi,unanashindwa kuelewa Maandiko.Bilaa maandiko matakatifu,kumuandika Yesu,wewe ungemjuwa vipi Yesu?Umeamjuwa Yesu,baada ya maandiko matakatifu kumuandika Yesu kwa upana wake na kwa undani.Na hapo hapo,unaposikia mtu anasema Fulani ni Mwalimu,wakati sio mwalimu,ni kuwa matendo yake yanafanana na mwalimu lakini sio mwalimu.Utetezi wa kijinga sana huu.
kwa hiyi insu hapa ni kuandika tu.
kwa kuwa Musiba alisema Magufuli ni yesu na AKAANDIKA kwenye gazeti lake la tanzanite:, kwa kuandika uko tu kuna mfanya Magufuli awe Yesu?
Kama wewe ni mprotestant na umekamatwa na wakatoliki,Ireland ya kaskazini,utasema wewe ni mlutheri?Kama wewe ni Shia au Ahmadiyya ukitekwa na ISIS au Taliban unaruhusiwa kudanganya ni Sunni ili wasikukate kichwa?
Mungu akishasema wewe
Biblia hutakaa uijue chief maana iko kiroho na wewe unasoma kawaida. tofaut ya Waislam na Wakristo ni kwenye Roho. nikuuliza swali dogo inakuwaje Mungu Muweza wa kila kitu anakuwa hawez kuwa binadam.
Wakristo Gani Hawaruhusiwi kufunika uso? Mwanamke akifunika uso amekuwa muislam?Kwa mfano mdogo tu,wakristo wanawake,hawaruhusiwi kuvaa ushungi,lakini wakiwa na kesi mahakamani,ili wasijulikane wakati camera zinawamulika,wanajifinika kuanzia kichwani,uso mpaka tumboni,wanaingia kwenye uislamu,bila kupenda.Pia ukija kwenye ugonjwa wa corona,wanawake na wanaume wasio waislamu,wanajifinika uso ,kwa kuvaa barakoa,na zamani wakiwacheka wanawake waislamu,wakijifinika uso,wakiwaita maninja,lakini hivi sasa,Mungu akawafanya hata wao,wasio waislamu wanajifinika uso.
Kwani dini ni nini mkuu kwa unavyoelewa wewe?Ndo maana tunasema Mungu hana dini dini zimeletwa na wazungu na waarabu angekuwa na dini yake wote tungezaliwa kwenye dini hiyo halafu wale watakaobadilika ndo tuseme hawamwabudu Mungu wa kweli
Kama wewe ni mprotestant na umekamatwa na wakatoliki,Ireland ya kaskazini,utasema wewe ni mlutheri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ni mprotestant na umekamatwa na wakatoliki,Ireland ya kaskazini,utasema wewe ni mlutheri?
Sent using Jamii Forums mobile app