UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kwanza Mbona unajichanganya mwenyewe, umesema Mungu hawezi kumfanya shetani kuwa malaika(japo asili ya shetani ni malaika kwa sababu Mungu hajawahi kuumba kiumbe kinaitwa shetani) lakini hapo unajisifu kwa Mungu wako ambaye anaweza kila kitu kiasi cha hadi yeye kujigeuza binaadamu ila kwenye kufanya shetani kuwa malaika unakubali hilo hawezi.Mungu hawez akamfanya shetan ni Malaika chief. akishasema harud nyuma. coz anauona mwisho kabla ya mwanzo. so huyo ni Mungu wenu sio huyu tunaemjua. ni kama vile mnavyoamin Mungu anaweza kila kitu lakin hawez akawa mwanadam. utashangaa mbona hamueleweki!