Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Mungu hawez akamfanya shetan ni Malaika chief. akishasema harud nyuma. coz anauona mwisho kabla ya mwanzo. so huyo ni Mungu wenu sio huyu tunaemjua. ni kama vile mnavyoamin Mungu anaweza kila kitu lakin hawez akawa mwanadam. utashangaa mbona hamueleweki!
Kwanza Mbona unajichanganya mwenyewe, umesema Mungu hawezi kumfanya shetani kuwa malaika(japo asili ya shetani ni malaika kwa sababu Mungu hajawahi kuumba kiumbe kinaitwa shetani) lakini hapo unajisifu kwa Mungu wako ambaye anaweza kila kitu kiasi cha hadi yeye kujigeuza binaadamu ila kwenye kufanya shetani kuwa malaika unakubali hilo hawezi.
 
umeongea nini sasa. hebu soma ulichoandika.
 
Sasa Mungu utamjua vipi bila ya kuleta dini yake ? Ata vyama vina kadi ili kuwajua wanachama wake jmni mambo mengine hayahitaji akili kubwa kuyajua ni ufahamu wa kawaida tuu unahitajika
Kwahiyo Dini ya Mungu ni ipi? na kama ana dini yake kwanini ameruhusu watu wote aliowaumbwa kuzaliwa kwenye tamaduni tofauti tofauti
 
umeongea nini sasa. hebu soma ulichoandika.
Kama hujaelewa basi ni kwa sababu nimekuonesha ni vp ulichoniandikia wewe ilikuwa unajichanganya hata wewe mwenyewe, kuna vitu vingapi vilikuwa haram vikaja kuwa halali na halali vikawa haram kwenye biblia ila ajabu wewe unasema Mungu unayemjua wewe hawezi kufanya hivyo.
 
Kwanza Mbona unajichanganya mwenyewe, umesema Mungu hawezi kumfanya shetani kuwa malaika(japo asili ya shetani ni malaika kwa sababu Mungu hajawahi kuumba kiumbe kinaitwa shetani) lakini hapo unajisifu kwa Mungu wako ambaye anaweza kila kitu kiasi cha hadi yeye kujigeuza binaadamu ila kwenye kufanya shetani kuwa malaika unakubali hilo hawezi.
Mungu akishasema wewe
Kama hujaelewa basi ni kwa sababu nimekuonesha ni vp ulichoniandikia wewe ilikuwa unajichanganya hata wewe mwenyewe, kuna vitu vingapi vilikuwa haram vikaja kuwa halali na halali vikawa haram kwenye biblia ila ajabu wewe unasema Mungu unayemjua wewe hawezi kufanya hivyo.
Biblia hutakaa uijue chief maana iko kiroho na wewe unasoma kawaida. tofaut ya Waislam na Wakristo ni kwenye Roho. nikuuliza swali dogo inakuwaje Mungu Muweza wa kila kitu anakuwa hawez kuwa binadam.
 
Ndo maana tunasema Mungu hana dini dini zimeletwa na wazungu na waarabu angekuwa na dini yake wote tungezaliwa kwenye dini hiyo halafu wale watakaobadilika ndo tuseme hawamwabudu Mungu wa kweli
Sijaelewa unavyosema kama Mungu ana et kwanini kawaachia watu wawe na dini zengine?
 
Takbir..Quran ilijua hili ndomaana ikasema Quran 11:5 "Hebu angalia! Ati wanafunika vilivyomo vifuani mwao ili wamfiche Mwenyezi Mungu! Jueni kuwa wanapo jigubika nguo zao Yeye anajua wanayo yaficha na wanayo yatangaza. Hakika Yeye ni Mjuzi wa yaliyomo vifuani"
Allah anajua vilivyo ndani ya vitu Na matumbo yetu, Ukisoma kiarabu kilichotumika hapo kwenye maneno kifuani Na wanafunika kinaweza pia kumaanisha tumboni na Figo..lakini pia kiarabu cha neno nguo hapo pia kinakaribiana Na neno la kiarabu la nguruwe...Allahu Akbar Quran ilijua nguruwe watakuja kutumika Kwa Figo zao Takbiir
 
Utetezi wa kijinga sana huu.
kwa hiyi insu hapa ni kuandika tu.

kwa kuwa Musiba alisema Magufuli ni yesu na AKAANDIKA kwenye gazeti lake la tanzanite:, kwa kuandika uko tu kuna mfanya Magufuli awe Yesu?
Wewe hujielewi kama huelewi,unanashindwa kuelewa Maandiko.Bilaa maandiko matakatifu,kumuandika Yesu,wewe ungemjuwa vipi Yesu?Umeamjuwa Yesu,baada ya maandiko matakatifu kumuandika Yesu kwa upana wake na kwa undani.Na hapo hapo,unaposikia mtu anasema Fulani ni Mwalimu,wakati sio mwalimu,ni kuwa matendo yake yanafanana na mwalimu lakini sio mwalimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akishasema wewe

Biblia hutakaa uijue chief maana iko kiroho na wewe unasoma kawaida. tofaut ya Waislam na Wakristo ni kwenye Roho. nikuuliza swali dogo inakuwaje Mungu Muweza wa kila kitu anakuwa hawez kuwa binadam.

Mungu ana hekima zake na misingi yake aliyoiweka, sasa ukisema Mungu anaweza kila kitu kwa namna unayotaka wewe basi pia Mungu anaweza kuwa anadhulumu haki ya mtu,anaonea watu, anaweza kuiba n.k

Lakini kwa sababu umesema mimi biblia siijui basi inaweza kuwa Mungu wa biblia anaweza kufanya yote hayo niliyosema.
 
Kwa mfano mdogo tu,wakristo wanawake,hawaruhusiwi kuvaa ushungi,lakini wakiwa na kesi mahakamani,ili wasijulikane wakati camera zinawamulika,wanajifinika kuanzia kichwani,uso mpaka tumboni,wanaingia kwenye uislamu,bila kupenda.Pia ukija kwenye ugonjwa wa corona,wanawake na wanaume wasio waislamu,wanajifinika uso ,kwa kuvaa barakoa,na zamani wakiwacheka wanawake waislamu,wakijifinika uso,wakiwaita maninja,lakini hivi sasa,Mungu akawafanya hata wao,wasio waislamu wanajifinika uso.
Wakristo Gani Hawaruhusiwi kufunika uso? Mwanamke akifunika uso amekuwa muislam?
 
Ndo maana tunasema Mungu hana dini dini zimeletwa na wazungu na waarabu angekuwa na dini yake wote tungezaliwa kwenye dini hiyo halafu wale watakaobadilika ndo tuseme hawamwabudu Mungu wa kweli
Kwani dini ni nini mkuu kwa unavyoelewa wewe?
 
Jibu hili swali sasa
Kama wewe ni mprotestant na umekamatwa na wakatoliki,Ireland ya kaskazini,utasema wewe ni mlutheri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom