jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Twende taratibu..musa aliitunza torati kwa kusali na kuabudu sabato jmos..si ndio?na mnamuamini musa kama nabii..sasa ilikuaje leo hii uislamu unaitunza ijumaa..je torati ya musa na uislamu huoni kwamba vinapingana tayari..au ndio kusema tunachukua yanayotufaa sisi tunaacha yasiyo tufaa hata kama ni maagizo ya muumba.Kuna muda kumuelewesha mtu aliyekua na majibu tyr ni kazi ngumu mno mm simlazimishi mtu kuufuata uislamu lkn mtakuja kujua siku mkifa ndo utajua ipi dini ya haki
#MaendeleoHayanaChama