Je, wajua Adam na Hawa walikua rangi gani?


Ok, ninavyofahamu mimi, Adam na Hawa walikuwa na rangi tofauti, yaani kila mmoja alikuwa na rangi yake.
 
Adam and Hawa ni hadithi za kusadikika hakuna ushahidi wa kuwepo kwa watu hao.Kama kuna mwenye ushahidi alete.

Hata mimi siku nikiambiwa wewe ulipata kuishi hapa duniani, sitaleta ushahidi maana sijawahi kukuona zaidi ya kukuona jf tena kwa jina la bandia.
 

according to bible history wanadam walipozidi kuongezeka duniani na kufanya maovu mungu akajuta kwann alimuumba binadamu akapanga kuwakatilia mbali bt nuhu pekee akapata kibali machoni pa mungu.

Sasa kwa kipengele hicho juu akija Kiranga si atakugalagaza na imani yako, maana inaonesha mungu hakua aware na akifanyacho..

Any way bora umecite kitabu chenu, maana hata wanaimani wengine wangekushambulia..

By the way majibu yako bado hayaniondolei doubts zangu juu ya asili ya mwanadamu na hizi rangi zetu za sasa.
 
Last edited by a moderator:
Ok, ninavyofahamu mimi, Adam na Hawa walikuwa na rangi tofauti, yaani kila mmoja alikuwa na rangi yake.

Unavyofahamu wewe kutoka wapi, maana hii ndo kwanza naisikia toka nazaliwa, eti adam na hawa walikua na rangi tofauti..
Haya ni zipi rangi hizo?
 

Is this for me? If yes, not well understood!
Naona sentesi zako zinakinzana sasa sijui unamjibu mtu, unamlaumu au unamfundisha!
 
Is this for me? If yes, not well understood!
Naona sentesi zako zinakinzana sasa sijui unamjibu mtu, unamlaumu au unamfundisha!

mkuu nimejaribu kutafuta, na haya ndo majibu

http://www.creationmoments.com/content/what-color-was-adam
 
unavyouliza adam na hawa walikuwa rangi gani utazani kweli kulikuwa na watu hao hizo ni stori tu mkuu.
 
unavyouliza adam na hawa walikuwa rangi gani utazani kweli kulikuwa na watu hao hizo ni stori tu mkuu.

Kati hizo stori unazo dhani zipo na hii sentensi yako hipi unadhani ni story tu,
Yaani kiwepesi tu, unaandika kua hizo ni stori tu, alafu unategemea kauli yako itosheleze kubadilisha mabilioni ya watu duniani kuhusu uwepo wa hao akina adam!?
Kwahyo unataka na sisi kuanzia leo tuseme hizo ni stori kwakua nini, eti wewe umesema?!

Wakati mwingine kama huna hoja ya kutetea ukitoacho kichwani mwako wewe ndio unawezakuoneka hujielewi kwa hadhara otherwise baki nacho akilini mwako..
 

ok mkuungoja twende sawa wewe una amini kulikuwa na watu wawili tu waka populate dunia nzima kwa kipindi cha miaka 6000 kama chronological ya bible inavyoonyesha wewe utakuwa na matatizo.
jiulize maswali haya.

1. kama kulikuwa na familia moja hizi race mbalimbali zimetoka wapi tena tunaambiwa hawa alitwaliwa ubavuni mwa adamu kwa hiyo wanashare genes zilezile.
2. je waliwezaje kuzaliana walifanya incest au bestiality
3. calculation za Mch. usher zinaonyesha ulimwengu una miaka 6000 tu lakini wanasayansi dunia nzima hawakubalina na young earth.
4. hizo ni stori mkuu zinapatikana kwenye vitabu vingi duniani waandishi wa biblia walikuwa wanacopy huko jaribu ku search creation mythology utajua na maanisha nini/
 
Maraika ameubwa kwa nuru
Majini wameubwa na moto
Binaadam wameubwa na udongo

Hebu jiulize udongo una rang gan?
 
Sasa mkuu shalet ndio maana nikauliza swali hilo kama ulilo uliza hapo chini..

Pia nakubali kua walikuwepo watu 2 toka mwanzo coz sehem pekee ambayo iko reliable kwangu ni kutoka ktk vitabu vya dini na naviamini, sass kwakua nimekosa majibu ya swali langu ndio maana nikauliza kwenu wana jamvi, lakini hii haimanishi napinga imani iliopo ktk holly books..

So swali la msingi linabaki pale pale.
 
Last edited by a moderator:
Maraika ameubwa kwa nuru
Majini wameubwa na moto
Binaadam wameubwa na udongo

Hebu jiulize udongo una rang gan?

Udongo una rangi nyekundu na nyeupe..
 

Attachments

  • 1427198072693.jpg
    165.7 KB · Views: 271
  • 1427198187402.jpg
    44.1 KB · Views: 258

Nikizungumza kwangu binafsi siamini kama tulitokana na watu wawili wanasayansi wanaendelea kufanya utafiti pengine wajukuu zetu watakuwa na majibu mazuri kuliko sisi.

lakini ukizungumzia holy book kama bible na quran kwangu hivyo sio vitabu vya ushahidi ni vitabu vya madai/claims yaliyokosa ushahidi mfano mzuri ni wewe hapo.
 

sio kweli,kaisome tena hiyo biblia yako....au labda useme umechanganya majina tu ila sio sham!
 


Sikia jibu kutoka Biblia kitabu cha Mwanzo 1:26-28, Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu
kwa mfano wetu, kwa sura yetu, wakatawale
juu ya samaki wa baharini na ndege wa angani, juu ya mifugo, juu ya dunia yote, na juu ya viumbe wote watambaao juu ya nchi.’’
Kwa hiyo Mungu alimwumba mtu kwa
mfano wake mwenyewe,
kwa mfano wa Mungu alimwumba,
mwanaume na mwanamke aliwaumba.
Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze tena dunia na kuitiisha. Mkatawale samaki wa baharini, ndege wa angani na kila kiumbe hai kiendacho juu ya ardhi.’’ (Kwa hiyo rangi yao ilifanana na ile ya Mungu, kabla hawajaasi).
 

Hao wanaija walidanganyana mama ndo anajua alimpata uyo mtoto kwa mzungu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…