Sikatai kua kuna maswali mengi kama hayo ya species za mimea, wanyama na viumbe wengine, lakin kwa leo nimeamua kuanza na la binadamu kwa kua tumeambia sisi sote tumetokana na mwanadam mmoja, sina uhakika saana na viumbe wengine kwa asili zao lakini nna uhakika na asili ya mwanadam..
Alafu mkuu kufaham na kujua jambo si dhambi, inawezekena kukuwa hakuna jibu ktk stock ya bongo zetu lakini kuna watu wanaweza kua na majibu tena yenye logic ndio maana mimi sijaona sababu ya kujifunga kwenye kibox nikaona niulize.
Ok, ninavyofahamu mimi, Adam na Hawa walikuwa na rangi tofauti, yaani kila mmoja alikuwa na rangi yake.