Je, wajua amani ya kweli na ya kudumu Ipo ndani yako mwenyewe?

Je, wajua amani ya kweli na ya kudumu Ipo ndani yako mwenyewe?

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Amani ni chemichemi ya kila kitu

Unaipataje? Na wapi na kwa nani na bei gani?

#Jibu: Kataa Kuchukia, Kataa Machukizo ya chochote kile.

Kupenda ni hiari ila kukataa kuchukia ni lazima kwa ajili ya amani ya maisha yako.

Imani ni Ushindi

Otesha Amani daima kataa chuki na machukizo.

Jumapili njema, Tukatae Hamsa Hamsa
 
Usikubali Kuwa Na Mawazo Hasi Always Be Optimistic Lazima Utakuwa Na Amani Siku Zote.


Watu Wenye Utulivu Wa Mind Uishi Miaka Mingi Zaidi Duniani.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Sijui kwa hali ya waukraine utalazimishaje aman mkuu
 
Back
Top Bottom