Je, wajua bei ya Tumbaku kwenye soko la duni ni kubwa kuliko chai

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
426
Reaction score
685
Kama unataka kuingia kwenye kilimo ni muhimu kujua bei za soko za bidha unazotaka kujihusisha nazo ili kujua zao ambalo litakulipa zaidi na ukajikwamua kiuchumi

Kwa takwimu zilizopo bei ya Kilo moja ya Tumbaku ni kubwa kuliko bei ya Chai. Kwa kipindi cha 2002 hadi 2021 Tumbaku iliuzwa kwa wastani wa Tsh, 9,300 na chai iliuzwa kwa wastani wa Tsh 5,550 kwa kilo moja


Kwa kipindi cha 2002 hadi 2021 bei kubwa ya chai ilikuwa Tsh. 7,620 wakati bei kubwa ya tumbaku ilikuwa Tsh 11,800 kwa kilo

Data Source: BoT
Signed: OEDIPUS
 
Tumbaku acha ipande tu, masigara haya kazi kuua mapafu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…