Je wajua "cognitive interviews" za kiintelijensia

Je wajua "cognitive interviews" za kiintelijensia

IMG_20171116_093341_047.jpg
 
Moja ya taaluma ninazipenda ni hizo japo nipo kwenye mambo ya technology ila nasoma sana vitabu vinavyohusu haya mambo, Nimejifunza mengi nkimuangalia tu mtu naweza kumtafsri anachowaza na mienendo yake kwa Ujumla
 
Kila kukicha jukwaa hili linazidi kukosa wale prominent members.
Mada imechokozwa vizuri lakini michango imekuwa michache.
 
Katika ulimwengu huu...hakuna kitu ambacho ni 100% . watu wanacheat hata lie detector na hizi mahakaman huwa pia haziwi kama ni ushahidi thabiti. Hata katika hayo mahojiano pia kuna uwezakano wa mtu kudanganya na asiangalie kushoto wala chini. But nakubaliana nawe pia luwa it works smtme ila not always na si lazima itakuwa right. There re people who are so good liars.sana huku anakutizama machoni. Na pia kuna namna ya ku practise mazingira yale yale ya uongo yawe ni kweli kwa maana ya kuwa mzungumzaji anasimulia kama alivyoona au fanya ingawa ni uongo.
 
Back
Top Bottom