Zamani watu walidhani ivy lakini kutoka na tafiti zilizofanyka miayoo husaidia kupooza mfumo mzima wa ubongo....sababu ili ubongo ufanye kazi unaitaji kiasi flan cha Joto ...joto likizidi utendaji wa kazi wa ubongo huwa dhaifu ivyo unavyopiga mwayo husaidia kuongeza mapigo ya moyo kwenda haraka na kusafirisha damu sehemu mbalimbali za mwili ikiwepo ubongo tunavyojua damu inabeba hewa safi (Oxygen) hii itaenda kwenye ubongo na kupooza ubongo...Navyojua kupiga miayo ni dalili ya uchomvi na njaa kitachofuatia hapo ni Usingizi.
Duh! ila sio yote mengine inakuja na picha tofauti we mwayo mtu anapiga mpk unaona kongosho!! sasa hapo ni kupoza kuongeza....
Dah kuna miayo na miayo.
Mwayo mwingine unapigwa kujulisha kuwa mtu hajaonja kitu siku nzima.
Wala ubongo unakuwa hauna shida na hiyo oksijeni.
Inaeza kuwa kweli kama hujala inamaana ubongo utakosa glucose ya kutosha na automatic utajisikia uchovu...Dah kuna miayo na miayo.
Mwayo mwingine unapigwa kujulisha kuwa mtu hajaonja kitu siku nzima.
Wala ubongo unakuwa hauna shida na hiyo oksijeni.