Je, wajua faida za kupiga miayo? (Yawning)

Je, wajua faida za kupiga miayo? (Yawning)

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Wengi wetu twadhani kwamba mtu anapopga Mwayo(Yawn) ni dalili za Uchovu, Njaa au kukereka.

La Hasha! wataalamu wanakwambia tunapopgia Mwayo Tunapooza Ubongo(Cool down our Brain System) Na ivyo hutusaidia kufikiri vizuri/Ubongo kufanya kazi vizuri.
.
Its like Computer ukii-Refresh itafanya kazi kwa spidi kubwa. So usiogope Kupiga Miayoo ina faida kubwa Kiafya.
 
Sasa mbn mara nyingi ukishaanza tu kupiga miayo ndio na usingizi unakuchukua,hapo ubongo unakuwaje ufanye kazi vizuri?mi nahisi ubongo unakuwa umechoka..
 
Navyojua kupiga miayo ni dalili ya uchomvi na njaa kitachofuatia hapo ni Usingizi.
 
Navyojua kupiga miayo ni dalili ya uchomvi na njaa kitachofuatia hapo ni Usingizi.
Zamani watu walidhani ivy lakini kutoka na tafiti zilizofanyka miayoo husaidia kupooza mfumo mzima wa ubongo....sababu ili ubongo ufanye kazi unaitaji kiasi flan cha Joto ...joto likizidi utendaji wa kazi wa ubongo huwa dhaifu ivyo unavyopiga mwayo husaidia kuongeza mapigo ya moyo kwenda haraka na kusafirisha damu sehemu mbalimbali za mwili ikiwepo ubongo tunavyojua damu inabeba hewa safi (Oxygen) hii itaenda kwenye ubongo na kupooza ubongo...
 
Duh! ila sio yote mengine inakuja na picha tofauti we mwayo mtu anapiga mpk unaona kongosho!! sasa hapo ni kupoza kuongeza....
 
Duh! ila sio yote mengine inakuja na picha tofauti we mwayo mtu anapiga mpk unaona kongosho!! sasa hapo ni kupoza kuongeza....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mbavu zangu ati mpaka kongosho
 
Dah kuna miayo na miayo.
Mwayo mwingine unapigwa kujulisha kuwa mtu hajaonja kitu siku nzima.
Wala ubongo unakuwa hauna shida na hiyo oksijeni.
 
Mbona ukimwangali mtu anaepiga mwayo nawe unakujia? Ni mvutano gani hapo
 
Dah kuna miayo na miayo.
Mwayo mwingine unapigwa kujulisha kuwa mtu hajaonja kitu siku nzima.
Wala ubongo unakuwa hauna shida na hiyo oksijeni.
Inaeza kuwa kweli kama hujala inamaana ubongo utakosa glucose ya kutosha na automatic utajisikia uchovu...
 
Mbona ukimwangali mtu anaepiga mwayo nawe unakujia? Ni mvutano gani hapo
nafikiri ni emotion zinazotoka kwenye ubongo kama vle kukojoa mnaeza kuta mnatembea kumi akianza kukojoa mmoja mtajpata wote mnakojoa
 
Back
Top Bottom