Je, wajua haramu isipoharimishwa inageuka halali? Na batili isipobatilishwa inageuka halali. Je, tuhalalishe ubatili huu kwa mhimili wetu wa Bunge?

Tuseme bwana ndugai hakujua aipeleke wapi barua au kafanya kusudi? tuanzie hapo kwanza
 
Pasi, Wewe ni shiboub yaani mbobezi tambua ile ni taarifa na sio barua ya kujihudhuru. Kila kitu mnakitaka public?
barua halisi ya ..NDUgayy.. kujiuzulu aliyoiandika kwenda kwa Katibu wake wa chama na copy akapeleka kwa Katibu wa bunge hiyo haijaonekana popote .. hiki tunachokiona ni taarifa tu kwa wanahabari na wananchi na sio barua ya kujiuzulu.
 
amini usiamini swali lile lilisaidia sana kimya kimya kubadilisha baadhi ya mambo na kupunguza makali fulani, mpaka mpaka Mungu alipoamua kuimaliza kazi lakini amini usiamini, bila swali lile, saa hizi sisi wengine sijui kama tungekuwepo!.
Mkubwa unataka kutuaminisha kuwa hayati mzee wetu hakuwa akijua kuwa baadhi ya maagizo yake yalikuwa yanakwenda kinyume kabisa na katiba
 
barua halisi ya ..NDUgayy.. kujiuzulu aliyoiandika kwenda kwa Katibu wake wa chama na copy akapeleka kwa Katibu wa bunge hiyo haijaonekana popote .. hiki tunachokiona ni taarifa tu kwa wanahabari na wananchi na sio barua ya kujiuzulu.
Mkuu MWALLA , japo ni kweli barua hatujaiona, issue ya uzi huu sio contents za barua. Contents za barua ni kujiuzulu na hazina tatizo lolote, tatizo ni barua ya kujiuzulu uspika imepelekwa kwa nani?. Katiba imetamka wazi barua ya kujiuzulu Spika inapelekwa kwa nani, kwanini katiba hakufuatwa?!.
P
 
Hii nchi maendeleo ya uhakika tutayackia kwa wenzetu tu
 
Hahahah!!!!Assad alishatuambia kitambo juu ya udhaifu wa andunje na lile genge analoliongoza
Sasa maneno yamedhihiri kwa vitendo japo alijifanya kujitutumua sana huyu kiumbe lkn waaap
Uzuri hii ilikuwa ni rahisi sana sana kwani spika alikuwa dhaifu na bunge lenyewe ni dhaifu.

Aliambiwa akang'aka lakini sasa ameona, akili fupi inaposhindana na akili kubwa kama Prof. Assad haya ndio matokeo! [emoji1787]
 
Katiba haina nafasi kwa mwenye nchi,mie ushauri wangu bora wakiapa wabebe katiba za vyama vyao tu
Hii ya kubeba vitabu vya dini ni kujitafutia laana tu
 
Wewe na kundi lako ovu mmetetea sana uvunjifu wa katiba kipindi cha magufuli.

Ni vyema waseme wengine ila sio wewe...
 
Pasi, Wewe ni shiboub yaani mbobezi tambua ile ni taarifa na sio barua ya kujihudhuru. Kila kitu mnakitaka public?
Yaan kwa comment hii inaonyesha sisi watanzania Ni wavivu Sana wa kusoma maelezo marefu Zaid tunakimbilia kucomment tu.

Huyu mzee Pascal ameeleza kila kitu kwenye Uzi wake ,Kama hujamwelewa napata mwanga kuwa wewe maswali ya Ufahamu yalikupiga Sana chenga .
Kama na wewe Ni msomi Basi iko shida kwenye Elimu yetu .

Ushauri wa bure uwe unasoma hoja za mtu nukta kwa nukta na ujiridhishe then ndio utoe mawazo yako.
 
Yako mambo mengi hapa kwetu yanafanyika kinyume cha utaratibu tuliojiwekea wenyewe, katiba na sheria.

Kwenye taifa au jamii ambapo watu wake ujinga ni tatizo kubwa, viongozi ambao wanachukua mamlaka ndio huwa Katiba na sheria. Katika taifa au jamii hiyo, Rais ndiye sheria; ndiye Katiba. Ingawa hivi sivyo mambo yanavyotakiwa kuwa lakini katika mataifa na jamii masikini ndivyo hali halisi ilivyo.
 
Sisi wabunge hatukubali kujiuzulu kienyeji kuliko fanywa na JYN,mpaka sasa ni spika ,vingenevyo ,alilazimishwa na muhimili huo hauna nguvu kama ilivyoainishwa na katiba
 
Mayala umenena,Tanzania ukiwa na akili nyingi unasuswa au unapotezwa,bora wewe unajipambanua unajua kuandika,wengine tunaongea nikiandika naona tutatafutwa na kupotezwa.Watanzania hatujui tunavyotawaliwa,watawala wanatuburuza watakavyo.Kuna nchi jiran moja wa kiongozi wake alisema viongoz wa Tanzania wanaongoza maiti.Kwa maoni yangu Ccm inatutawala wanavyotaka.
 
Mkuu Learned Brother Petro mselewa, naunga mkono hoja kwa asilimia 100%, kilichofanyika ni kuhalalisha haramu na ubatili !.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…