Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
barua halisi ya ..NDUgayy.. kujiuzulu aliyoiandika kwenda kwa Katibu wake wa chama na copy akapeleka kwa Katibu wa bunge hiyo haijaonekana popote .. hiki tunachokiona ni taarifa tu kwa wanahabari na wananchi na sio barua ya kujiuzulu.Pasi, Wewe ni shiboub yaani mbobezi tambua ile ni taarifa na sio barua ya kujihudhuru. Kila kitu mnakitaka public?
Mkubwa unataka kutuaminisha kuwa hayati mzee wetu hakuwa akijua kuwa baadhi ya maagizo yake yalikuwa yanakwenda kinyume kabisa na katibaamini usiamini swali lile lilisaidia sana kimya kimya kubadilisha baadhi ya mambo na kupunguza makali fulani, mpaka mpaka Mungu alipoamua kuimaliza kazi lakini amini usiamini, bila swali lile, saa hizi sisi wengine sijui kama tungekuwepo!.
Mkuu MWALLA , japo ni kweli barua hatujaiona, issue ya uzi huu sio contents za barua. Contents za barua ni kujiuzulu na hazina tatizo lolote, tatizo ni barua ya kujiuzulu uspika imepelekwa kwa nani?. Katiba imetamka wazi barua ya kujiuzulu Spika inapelekwa kwa nani, kwanini katiba hakufuatwa?!.barua halisi ya ..NDUgayy.. kujiuzulu aliyoiandika kwenda kwa Katibu wake wa chama na copy akapeleka kwa Katibu wa bunge hiyo haijaonekana popote .. hiki tunachokiona ni taarifa tu kwa wanahabari na wananchi na sio barua ya kujiuzulu.
Wanabodi,
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa natoa makala elimishi za kisiasa, kiuchumi na kijamii ziitwazo "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa lengo la uzalendo kwa nchi yangu, kuisaidia nchi yetu, serikali yetu, viongozi wetu na jamii yetu.
Utambulisho
Kwa vile huu ni mwaka mpya, sio vibaya pia nikitoa utambulisho mdogo wa mwandishi wa makala hizi, Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, aliyehudumu kwenye tasnia ya habari ndani na nje ya nchi kwa takribani miaka 30, hivi sasa ni mstaafu hivyo ameamua kuutumia muda wake wa kustaafu kurudisha katika jamii "give back to the society", kile kidogo alichonacho, kwa leongo la kusaidia jamii na taifa kwa ujumla.
Makala za Kwa Maslahi ya Taifa Hutoka Gazeti la Nipashe Jumapili
Makala za Kwa Maslahi ya Taifa ni makala kwa mtindo wa swali, kisha hutoa hoja elimishi, na kumalizia kwa lile lile swali la msingi, ili jibu ulitoe wewe msomaji. Makala ya leo ni swali.
Je, Wajua kuwa kitu ambacho ni haramu, haramu hiyo isipo harimishwa inageuka halali?
Mfano kwa Waislamu kula nyamafu ni haramu!. Muislamu kula nyamafu ni haramu na unapata najis. Lakini ukila nyamafu, bila kujua kuwa ni nyamafu, ukidhani ni halal, ulaji huo unakuwa ni halal na utaendelea kula nyamafu bila kupata najis mpaka pale nyamafu hiyo itakapo harimishwa kwa kutamkwa kuwa nyama hiyo ni nyamafu. Hii maana yake ni haramu isipo harimishwa inakuwa ni halali.
Vivyo hivyo, kitu ambacho ni batili, kisipobatilishwa kinageuka halali!
Mfano ni ndoa inapofungwa inahesabika ni ndoa halali, lakini ili ndoa iwe halali, ni lazima ndoa hiyo iwe consummated ili kuihalalisha, ndoa ikishindikana kuwa consummated inakuwa ni ndoa batili, lakini kwa vile ndoa imeishafungwa , itaendelea kuhesabika ni ndoa halali mpaka pale itakapo batilishwa. Wanandoa wanaoishi kwenye ndoa batili bila kuibatilisha, wanahesabika ni wanandoa halali, ila wanaishi kwenye ubatili. Hii maana yake ni batili isiyo batilishwa itaonekana ni halali machoni kwa watu, lakini kiukweli in reality ni batilihiyo batili.
Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa kufuata, katiba, sheria, taratibu na kanuni
Mfumo wa uendeshaji wa nchi yetu, ni mfumo wa Mihimili mitatu ya Bunge, Serikali, na Mahakama, wakuu wa mihimili hii ni Rais mkuu wa mhimili wa serikali, Spika ni Mkuu wa mhimili wa Bunge na Jaji Mkuu , Mkuu wa mhimili wa Mahakama. Hawa wakuu watatu ndio watu muhimu zaidi kuliko watu wengine wowote, na upatikanaji wao, majukumu yao, madaraka yao na kuondoka kwako kumeelezwa kwenye katiba.
"The Doctrine of Separation of Powers, Check and Balance"
Kila mhimili una majukumu yake, nguvu zake na mipaka yake, Bunge ni chombo cha uwakilishi wa wananchi, jukumu lake kuu ni kutunga sheria. Mahakama ni kutafsiri sheria na kutoa haki, serikali ni kutekeleza sheria. Vyombo hivi vitatu, kila kimoja kina mamlaka yake ambayo hayatakiwi kuingiliwa na chombo kingine, lakini kila chombo ndio msimamizi wa mwingine kisije kukiuka mamlala yake, katika kanuni inayoitwa kwa Kiingereza, "The Doctrine of Separation of Powers, Check and Balance". Serikali itakusanya mapato, na kupanga bajeti ya matumizi yake ikiwa ni pamoja na kutoa pedha za uendeshaji wa mihimili ya Bunge na Mahakama na kupendekeza sheria, Bunge litaisimamia serikali kwa kuitungia sheria, kuipitishia bajeti na kufuatilia matumizi na Mahakama itatafriri sheria zilizotungwa na Bunge na kulidhibiti Bunge na serikali.
Moja ya maeneo magumu sana, ni eneo la kutafsiri katiba na sheria
Kwa bahati nzuri, mimi licha ya kuwa ni mwandishi tuu wa habari na mtangazaji, mimi pia ni mhitimu wa shahada ya Sheria, LL.B (hons) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (UDSM), na kupata bahati ya kufundishwa sheria na baadhi ya waalimu mabingwa wabobezi wa sheria akiwemo Prof. Ibrahim Juma, Prof. Palamagamba Kabudi, Dr. Tulia Akson, Prof. Sifuni Mchome, Prof. Issa Shivji na wengi, na kwa upande wangu, moja ya masomo magumu sana ya sheria, ni Katiba, mwalimu wangu alikuwa Prof. Issa Shivji, ikatokea nikawa namwelewa sana, hivyo somo la katiba, ni moja ya somo niliofanya vizuri sana na kupata A hivyo japo jukumu la kutfsiri katiba ni jukumu la mahakama, naomba tafsiri hii yangu ya katiba, ichukuliwe very serious toka kwa mbobezi wa katiba.
Usaidizi Wangu Kulisaidia Taifa Langu Lifuate Katiba.
Sio mara moja wala mbili, nimekuwa nilikilisaidia taifa langu katika kuitafsiri katiba, hata lile swali langu kwa JPM, pale ikulu siku ile, lilikuwa ni swali la kikatiba, japo jibu nililo jibiwa pale, ni "Mayalla kwa Kisukuma ni njaa", amini usiamini swali lile lilisaidia sana kimya kimya kubadilisha baadhi ya mambo na kupunguza makali fulani, mpaka mpaka Mungu alipoamua kuimaliza kazi lakini amini usiamini, bila swali lile, saa hizi sisi wengine sijui kama tungekuwepo!.
Nimewahi kulisaidia sana Bunge letu tukufu, kupunguza kujipendekeza kwa serikali!. Japo niliitwa Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Bunge, lakini kiukweli nilisaidia sana!.
Hata Bunge letu tukufu licha ya kusheheni wanasheria ma nguli wabobezi, lakini sio wabobezi wa katiba, mwaka juzi ni mimi ndiye nililiokoa Bunge lisivunjwe baada ya Bunge kutoa Azimio fulani batili, kwa kugoma kufanya kazi na CAG!. Ni mimi niliwaeleza azimio hilo ni batili, na kuwaonyesha ubatili wake kikatiba na kisheria, kisha nikawaeleza nini kitatokea azimio hilo batili lingetekelezwa!. Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba Nashukuru somo hili lilieleweka Bunge likaliweka pembeni azimio lake batili kimya kimya na kutimiza wajibu wake.
Wiki iliyopita kumefanyika tena ubatili mwingine wa katiba katika Mhimili wetu huu huu wa Bunge letu. Spika wa Bunge amejiuzulu, ila barua yake ya kujiuzulu imekiuka katiba! hivyo amejiuzulu kweli lakini kwa kutumia barua batili!
Kwa vile lengo langu ni kuelimisha jamii, naomba nianze kwa kukuwekea kifungu cha katiba cha kujiuzulu kwa Spika.
View attachment 2075433
Ibara hii ya 149 1 (c) ya Katiba imeelekeza Spika akijiuzulu, ataandika barua kuliarifu Bunge. Kitu kikiishwa elekezwa na katiba namna ya kufanyika, kikifanyika kwa namna nyingine yoyote kinyume cha katiba, kitu hicho ni batili. Kujiuzulu halali ni kuandika barua kwa mamlaka yako ya uteuzi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Spika kwa vyombo, imearifu ameandika barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na copy kwa Katibu wa Bunge. Katiba imeelekeza barua ya kujiuzulu Spika, itatumwa kwa Bunge. Kitendo cha Spika kuandika barua na kuituma kwa CCM kabla ya Bungeni, kumeifanya Barua ya Spika kuwa Batilifu, Bila huo ubatilifu kuondolewa, then barua hiyo imekuwa ni barua barua batili!. Katibu Mkuu wa CCM ametoa taarifa ya kupokea barua ya kujiuzulu Spika na tayari ameliarifu Bunge kuhusu kujiuzulu huko, na Bunge limeipokea taarifa hiyo batilifu hivyo hivyo ubatili wake na kuikubali. Huu ni ubatili!. Kama Bunge ndio mhimili wa kutunga sheria, Bunge lisipofuata katiba kwa kuukubali ubatili, nani atafuata katiba?.
Haki ya CCM Kupokea barua ya kujiuzulu, ni kama Mhe Spika JYN angejiuzulu uanachama wa CCM, hivyo kupoteza ubunge wake na uspika, ndipo CCM ingeliarifu Bunge.
Jee tuliruhusu Bunge letu tukufu kukumbatia ubatili katika madogo, jee ubatili huu ukihamia katika makubwa, nani atakuwa na jeuri ya kulihoji Bunge?
A Way Forward.
Hitimisho.
- Japo Spika Mhe. JYN tayari ameisha jiuzulu uspika, kujiuzulu huko, japo ni kujiuzulu batilifu, lakini kujiuzulu ni kujiuzulu na Spika amejiuzulu, lakini kwa kuheshimu katiba, lazima ubatili katika barua hizo uondolewe kwa kuandikwa barua rasmi kwa mujibu wa katiba.
- Bunge lipokee kimya kimya barua mpya ya kujiuzulu kwa Spika iliyoandikwa kwa mujibu wa katiba, kisha Bunge ndio litoe copy kwa CCM.
Namalizia kwa lile swali la msingi la uzi huu
Je wajua, haramu Isipoharimishwa Inageuka halali?, na batili Isipobatilishwa inageuka halali!. Je, Tanzania, tuhalalishe ubatili huu wa kujiuzulu kinyume cha katiba kwa mkuu wa mhimili wetu wa Bunge? Kama katiba imeelekeza jinsi ya kufanyika kwa jambo fulani, kuna sababu gani ya msingi ya kutofuata katiba na badala yake tukumbatie ubatili?
Jumatatu Njema.
Pascal
Uzuri hii ilikuwa ni rahisi sana sana kwani spika alikuwa dhaifu na bunge lenyewe ni dhaifu.
Aliambiwa akang'aka lakini sasa ameona, akili fupi inaposhindana na akili kubwa kama Prof. Assad haya ndio matokeo! [emoji1787]
Kumtoa Spika kipindi hiki na kumuweka mwingine ni kuliongezea taifa gharama!
Lakini hakukuwa na namna!
Mkuu Ng'wanamangilingili , issue hapa sio contents za barua ya kujiuzulu bali nani amepelekewa barua hiyo. Spika ni muajiriwa wa mhimili wa Bunge, hivyo akijiuzulu barua ya kujiuzulu inapelekwa kwa mwajiri wake ambaye ni Bunge.
CCM ndio chama chake kilichompendekeza kwenye uspika ila sio mwajiri wake.
All and all, kwa vile katiba ipo na imeelekeza barua ya kujiuzulu ipelekwe kwa nani, kwanini katiba isifuatwe?.
P
Ilboru hoyeeeeee!Haya Sasa Mayala zao la Iliboru,
Ndugai zao la Kibaha.
Vipaji maalumu.
Nani ni Nani🤓🤓
Yaan kwa comment hii inaonyesha sisi watanzania Ni wavivu Sana wa kusoma maelezo marefu Zaid tunakimbilia kucomment tu.Pasi, Wewe ni shiboub yaani mbobezi tambua ile ni taarifa na sio barua ya kujihudhuru. Kila kitu mnakitaka public?
Ilboru hoyeeeeee!We haha
Sisi wabunge hatukubali kujiuzulu kienyeji kuliko fanywa na JYN,mpaka sasa ni spika ,vingenevyo ,alilazimishwa na muhimili huo hauna nguvu kama ilivyoainishwa na katibaWanabodi,
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa natoa makala elimishi za kisiasa, kiuchumi na kijamii ziitwazo "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa lengo la uzalendo kwa nchi yangu, kuisaidia nchi yetu, serikali yetu, viongozi wetu na jamii yetu.
Utambulisho
Kwa vile huu ni mwaka mpya, sio vibaya pia nikitoa utambulisho mdogo wa mwandishi wa makala hizi, Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, aliyehudumu kwenye tasnia ya habari ndani na nje ya nchi kwa takribani miaka 30, hivi sasa ni mstaafu hivyo ameamua kuutumia muda wake wa kustaafu kurudisha katika jamii "give back to the society", kile kidogo alichonacho, kwa leongo la kusaidia jamii na taifa kwa ujumla.
Makala za Kwa Maslahi ya Taifa Hutoka Gazeti la Nipashe Jumapili
Makala za Kwa Maslahi ya Taifa ni makala kwa mtindo wa swali, kisha hutoa hoja elimishi, na kumalizia kwa lile lile swali la msingi, ili jibu ulitoe wewe msomaji. Makala ya leo ni swali.
Je, Wajua kuwa kitu ambacho ni haramu, haramu hiyo isipo harimishwa inageuka halali?
Mfano kwa Waislamu kula nyamafu ni haramu!. Muislamu kula nyamafu ni haramu na unapata najis. Lakini ukila nyamafu, bila kujua kuwa ni nyamafu, ukidhani ni halal, ulaji huo unakuwa ni halal na utaendelea kula nyamafu bila kupata najis mpaka pale nyamafu hiyo itakapo harimishwa kwa kutamkwa kuwa nyama hiyo ni nyamafu. Hii maana yake ni haramu isipo harimishwa inakuwa ni halali.
Vivyo hivyo, kitu ambacho ni batili, kisipobatilishwa kinageuka halali!
Mfano ni ndoa inapofungwa inahesabika ni ndoa halali, lakini ili ndoa iwe halali, ni lazima ndoa hiyo iwe consummated ili kuihalalisha, ndoa ikishindikana kuwa consummated inakuwa ni ndoa batili, lakini kwa vile ndoa imeishafungwa , itaendelea kuhesabika ni ndoa halali mpaka pale itakapo batilishwa. Wanandoa wanaoishi kwenye ndoa batili bila kuibatilisha, wanahesabika ni wanandoa halali, ila wanaishi kwenye ubatili. Hii maana yake ni batili isiyo batilishwa itaonekana ni halali machoni kwa watu, lakini kiukweli in reality ni batilihiyo batili.
Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa kufuata, katiba, sheria, taratibu na kanuni
Mfumo wa uendeshaji wa nchi yetu, ni mfumo wa Mihimili mitatu ya Bunge, Serikali, na Mahakama, wakuu wa mihimili hii ni Rais mkuu wa mhimili wa serikali, Spika ni Mkuu wa mhimili wa Bunge na Jaji Mkuu , Mkuu wa mhimili wa Mahakama. Hawa wakuu watatu ndio watu muhimu zaidi kuliko watu wengine wowote, na upatikanaji wao, majukumu yao, madaraka yao na kuondoka kwako kumeelezwa kwenye katiba.
"The Doctrine of Separation of Powers, Check and Balance"
Kila mhimili una majukumu yake, nguvu zake na mipaka yake, Bunge ni chombo cha uwakilishi wa wananchi, jukumu lake kuu ni kutunga sheria. Mahakama ni kutafsiri sheria na kutoa haki, serikali ni kutekeleza sheria. Vyombo hivi vitatu, kila kimoja kina mamlaka yake ambayo hayatakiwi kuingiliwa na chombo kingine, lakini kila chombo ndio msimamizi wa mwingine kisije kukiuka mamlala yake, katika kanuni inayoitwa kwa Kiingereza, "The Doctrine of Separation of Powers, Check and Balance". Serikali itakusanya mapato, na kupanga bajeti ya matumizi yake ikiwa ni pamoja na kutoa pedha za uendeshaji wa mihimili ya Bunge na Mahakama na kupendekeza sheria, Bunge litaisimamia serikali kwa kuitungia sheria, kuipitishia bajeti na kufuatilia matumizi na Mahakama itatafriri sheria zilizotungwa na Bunge na kulidhibiti Bunge na serikali.
Moja ya maeneo magumu sana, ni eneo la kutafsiri katiba na sheria
Kwa bahati nzuri, mimi licha ya kuwa ni mwandishi tuu wa habari na mtangazaji, mimi pia ni mhitimu wa shahada ya Sheria, LL.B (hons) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (UDSM), na kupata bahati ya kufundishwa sheria na baadhi ya waalimu mabingwa wabobezi wa sheria akiwemo Prof. Ibrahim Juma, Prof. Palamagamba Kabudi, Dr. Tulia Akson, Prof. Sifuni Mchome, Prof. Issa Shivji na wengi, na kwa upande wangu, moja ya masomo magumu sana ya sheria, ni Katiba, mwalimu wangu alikuwa Prof. Issa Shivji, ikatokea nikawa namwelewa sana, hivyo somo la katiba, ni moja ya somo niliofanya vizuri sana na kupata A hivyo japo jukumu la kutfsiri katiba ni jukumu la mahakama, naomba tafsiri hii yangu ya katiba, ichukuliwe very serious toka kwa mbobezi wa katiba.
Usaidizi Wangu Kulisaidia Taifa Langu Lifuate Katiba.
Sio mara moja wala mbili, nimekuwa nilikilisaidia taifa langu katika kuitafsiri katiba, hata lile swali langu kwa JPM, pale ikulu siku ile, lilikuwa ni swali la kikatiba, japo jibu nililo jibiwa pale, ni "Mayalla kwa Kisukuma ni njaa", amini usiamini swali lile lilisaidia sana kimya kimya kubadilisha baadhi ya mambo na kupunguza makali fulani, mpaka mpaka Mungu alipoamua kuimaliza kazi lakini amini usiamini, bila swali lile, saa hizi sisi wengine sijui kama tungekuwepo!.
Nimewahi kulisaidia sana Bunge letu tukufu, kupunguza kujipendekeza kwa serikali!. Japo niliitwa Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Bunge, lakini kiukweli nilisaidia sana!.
Hata Bunge letu tukufu licha ya kusheheni wanasheria ma nguli wabobezi, lakini sio wabobezi wa katiba, mwaka juzi ni mimi ndiye nililiokoa Bunge lisivunjwe baada ya Bunge kutoa Azimio fulani batili, kwa kugoma kufanya kazi na CAG!. Ni mimi niliwaeleza azimio hilo ni batili, na kuwaonyesha ubatili wake kikatiba na kisheria, kisha nikawaeleza nini kitatokea azimio hilo batili lingetekelezwa!. Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba Nashukuru somo hili lilieleweka Bunge likaliweka pembeni azimio lake batili kimya kimya na kutimiza wajibu wake.
Wiki iliyopita kumefanyika tena ubatili mwingine wa katiba katika Mhimili wetu huu huu wa Bunge letu. Spika wa Bunge amejiuzulu, ila barua yake ya kujiuzulu imekiuka katiba! hivyo amejiuzulu kweli lakini kwa kutumia barua batili!
Kwa vile lengo langu ni kuelimisha jamii, naomba nianze kwa kukuwekea kifungu cha katiba cha kujiuzulu kwa Spika.
View attachment 2075433
Ibara hii ya 149 1 (c) ya Katiba imeelekeza Spika akijiuzulu, ataandika barua kuliarifu Bunge. Kitu kikiishwa elekezwa na katiba namna ya kufanyika, kikifanyika kwa namna nyingine yoyote kinyume cha katiba, kitu hicho ni batili. Kujiuzulu halali ni kuandika barua kwa mamlaka yako ya uteuzi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Spika kwa vyombo, imearifu ameandika barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na copy kwa Katibu wa Bunge. Katiba imeelekeza barua ya kujiuzulu Spika, itatumwa kwa Bunge. Kitendo cha Spika kuandika barua na kuituma kwa CCM kabla ya Bungeni, kumeifanya Barua ya Spika kuwa Batilifu, Bila huo ubatilifu kuondolewa, then barua hiyo imekuwa ni barua barua batili!. Katibu Mkuu wa CCM ametoa taarifa ya kupokea barua ya kujiuzulu Spika na tayari ameliarifu Bunge kuhusu kujiuzulu huko, na Bunge limeipokea taarifa hiyo batilifu hivyo hivyo ubatili wake na kuikubali. Huu ni ubatili!. Kama Bunge ndio mhimili wa kutunga sheria, Bunge lisipofuata katiba kwa kuukubali ubatili, nani atafuata katiba?.
Haki ya CCM Kupokea barua ya kujiuzulu, ni kama Mhe Spika JYN angejiuzulu uanachama wa CCM, hivyo kupoteza ubunge wake na uspika, ndipo CCM ingeliarifu Bunge.
Jee tuliruhusu Bunge letu tukufu kukumbatia ubatili katika madogo, jee ubatili huu ukihamia katika makubwa, nani atakuwa na jeuri ya kulihoji Bunge?
A Way Forward.
Hitimisho.
- Japo Spika Mhe. JYN tayari ameisha jiuzulu uspika, kujiuzulu huko, japo ni kujiuzulu batilifu, lakini kujiuzulu ni kujiuzulu na Spika amejiuzulu, lakini kwa kuheshimu katiba, lazima ubatili katika barua hizo uondolewe kwa kuandikwa barua rasmi kwa mujibu wa katiba.
- Bunge lipokee kimya kimya barua mpya ya kujiuzulu kwa Spika iliyoandikwa kwa mujibu wa katiba, kisha Bunge ndio litoe copy kwa CCM.
Namalizia kwa lile swali la msingi la uzi huu
Je wajua, haramu Isipoharimishwa Inageuka halali?, na batili Isipobatilishwa inageuka halali!. Je, Tanzania, tuhalalishe ubatili huu wa kujiuzulu kinyume cha katiba kwa mkuu wa mhimili wetu wa Bunge? Kama katiba imeelekeza jinsi ya kufanyika kwa jambo fulani, kuna sababu gani ya msingi ya kutofuata katiba na badala yake tukumbatie ubatili?
Jumatatu Njema.
Pascal
Ohh yes" Strong institutions not strong Men " ?? Au ??!!
Mayala umenena,Tanzania ukiwa na akili nyingi unasuswa au unapotezwa,bora wewe unajipambanua unajua kuandika,wengine tunaongea nikiandika naona tutatafutwa na kupotezwa.Watanzania hatujui tunavyotawaliwa,watawala wanatuburuza watakavyo.Kuna nchi jiran moja wa kiongozi wake alisema viongoz wa Tanzania wanaongoza maiti.Kwa maoni yangu Ccm inatutawala wanavyotaka.Wanabodi,

Mkuu Learned Brother Petro mselewa, naunga mkono hoja kwa asilimia 100%, kilichofanyika ni kuhalalisha haramu na ubatili !.Mwenyekiti wa Taifa wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ametinga Mahakama Kuu ya Tanzania na ameshafungua kesi ya kikatiba kuhusu kujiuzulu kwa Spika Job Yustino Ndugai. Kwa taarifa nilizonazo binafsi, tayari kesi husika imeshasajiliwa na imepangiwa jopo la Majaji watatu la kuisikiliza kesi hiyo. Wakati kesi hiyo ikiwepo mahakamani, tayari CCM na ADC wameshawapitisha wagombea wao wa nafasi ya Spika wa Bunge.
Nimekuwa nikifuatilia maoni ya watanzania na wasio watanzania kwenye mitandao ya kijamii, mitaani, runingani na redioni kuhusu kesi iliyofunguliwa na Mbatia. Wengine wanamuona Mbatia akitaka Ndugai abaki kuwa Spika wa Bunge kwa njia ya Mahakama. Wapo wanaomuona Mbatia kama anayepoteza muda na 'fedha' zake kwa jambo lisilo na maana na kuwa jambo hilo limeshapitwa na wakati. Wapo wanaompongeza. Lakini, wengi wanambeza.
Suala la utetezi wa Katiba ni suala kubwa na la muhimu kwa kila mmoja wetu. Kila Mtanzania, kwakuwa Katiba ni sheria yetu mama, anapaswa kuilinda na kuitetea katiba yetu. Katiba inapotoa masharti ya kufuatwa, lazima yafuatwe. Katiba imetoa masharti ya kufuatwa na Spika anayetaka kujiuzulu. Ni lazima yafuatwe. Mbatia ameona hayakufuatwa. Amekwenda mahakamani kuitetea na kuilinda Katiba yetu iliyotoa masharti ambayo ameona yamekiukwa. Ni haki yake na anafanya jambo jema.
Viongozi wetu, wanapoapishwa, huapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sheria zote nyinginezo (zinazotungwa na Bunge na zile Ndogondogo) hazipaswi kukinzana na Katiba. Pale zinapokuwa kimya, Katiba hutumika. Haipendezi kushabikia viongozi ambao hawaifuati Katiba yetu kwa minajili ya kuilinda na kuitetea kama walivyoapa. Tena, viongozi wenyewe ni wale wanaotokea kwenye Bunge ambalo ndilo linalotunga sheria.
Si sawa Athumani, aliyedhaminiwa na Musa kupata kazi kwa Ally, kuandika barua yake ya kuacha kazi akiielekeza kwa Musa huku akitoa nakala tu kwa Ally-mwajiri wake. Hapo, aliyepaswa kuandikiwa barua husika ni mwajiri ambaye ni Ally na nakala inaweza kuelekezwa kwa Musa ikimpendeza Athumani. Kimsingi, Mbatia ana haki na hoja za kufungua shauri lake Mahakama Kuu ya Tanzania kupata tafsiri ya kikatiba juu ya suala hilo. Atabezwa lakini atabaki na hoja yake.