Je, wajua haya kuhusu bwawa la Mtera?

Je, wajua haya kuhusu bwawa la Mtera?

Kati ya tecnologia niliyoikubali ni ile mitambo kule chini, jinsi walivyochimba ule mwamba kwa urefu na ukubwa ulee, hewa nzuri ya oksijeni iliyochujwa na kuingizwa, kupitia mitambo,

Ukiwa kule ndani na palivyo pakubwa na yale maofisi ni kama upo nje tuuh, palivyo pasafi na pazuri.

Ukiangalia zile bomba zilivyokubwa na ile pressure ya maji ilivyokubwa, huwezi hata msikia mwenzako akiongea.
Mkuu mimi nimeingia Kidatu.
Tunnel la kupitisha maji kulisha turbines zote nne ni 10km!
Ule mteremko wa mwisho, penstocks, kama nakumbuka zinatelemka karibia 150m.
Pressure ya maji inazungusha turbines nzito kama karatasi!
 
Je, Wajua?
Kuanzia saa 10 mpaka saa 4 usiku ndio 'Peak Hour' yaani muda ambao Watanzania wanakuwa na matumizi ya umeme ya makubwa sana.
Hii ilitolewa kama sababu ya kukatika umeme, lakini je mbona umeme hukatika hata usiku wa manane wakati matumizi yakiwa chini kabisa?
 
Back
Top Bottom