Kati ya tecnologia niliyoikubali ni ile mitambo kule chini, jinsi walivyochimba ule mwamba kwa urefu na ukubwa ulee, hewa nzuri ya oksijeni iliyochujwa na kuingizwa, kupitia mitambo,
Ukiwa kule ndani na palivyo pakubwa na yale maofisi ni kama upo nje tuuh, palivyo pasafi na pazuri.
Ukiangalia zile bomba zilivyokubwa na ile pressure ya maji ilivyokubwa, huwezi hata msikia mwenzako akiongea.