Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Hata mimi sikubaliani na hili la 80% ya vyakula vya duniani kuwa vimetokana na mto Amazon.Zaidi ya 80% ya vyakula vinavyopatikana ulimwenguni vimetokana na mto Amazon.
Asante kwa taarifa ila kwa hiyo point juu nina mashaka
Labda mto mada alikosea kutafsiri