Je, wajua haya kuhusu mto Amazon?

Je, wajua haya kuhusu mto Amazon?

Zaidi ya 80% ya vyakula vinavyopatikana ulimwenguni vimetokana na mto Amazon.

Asante kwa taarifa ila kwa hiyo point juu nina mashaka
Hata mimi sikubaliani na hili la 80% ya vyakula vya duniani kuwa vimetokana na mto Amazon.

Labda mto mada alikosea kutafsiri
 
Back
Top Bottom