kid ink tz
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 307
- 320
Sawa mkuuNdio hivyo
UsikaririUsikariri
Ni sahihi. Unategemea mlokole apate mke club? Lazima atakutana nae church.
Je, wajua video ya moyo mashine ya Ben Pol iliofanywa South Africa lile piano linalochomwa moto ilikuwa idea ya Director location kuwa lichomwe moto kweli. Ikabidi Be Pol ahitajike kulipia gharama ya piano . Video ya moyo mashine ilikuwa wazo la Fid Q
#ElimikaWikiendi by Chapo255
kumbe wewe ndio chapo kilaza wa Twitter.Je, wajua Video ya Diamond Platnumz i miss you remix ile treni kwenye video unayoiona sio treni kweli eneo la tukio(location) hapakuwa na treni ila ni utaalam ulitumika ionekane treni kweli. Na subtitle ya video aliandika Jokate mwengelo(DC)
credit by chapo255
Huu uzi umeungwa bwana. Nili reply wa kwanza kwa hiyo post ya msaga sumu kupata mke kwenye kigodoro.Unachotumia siku hizi punguza kidogo
Huu uzi umeungwa bwana. Nili reply wa kwanza kwa hiyo post ya msaga sumu kupata mke kwenye kigodoro.
Hahaha hata hivyo natupia tu bado. Hapa yenyewe ndio nalipua. Ibuka basi. Au na wewe ushatupia vyako maana naona hapo juu mpaka aibu nimeona mimi.Sasa si ndio nikashangaa mbona comment haiendani na mada πππ
Nikahisi umerudia vitu vyako vile