Je, wajua haya kuhusu nyimbo za hawa wasanii?

Je, wajua haya kuhusu nyimbo za hawa wasanii?

kid ink tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
307
Reaction score
320
Je, wajua Video ya Diamond Platnumz i miss you remix ile treni kwenye video unayoiona sio treni kweli eneo la tukio(location) hapakuwa na treni ila ni utaalam ulitumika ionekane treni kweli. Na subtitle ya video aliandika Jokate mwengelo(DC)

credit by chapo255
 
Je, wajua Mapopo ya Lulu diva imeshutiwa mara mbili, siku ya kwanza mvua ilinyesha sana na kusabbabisha kukwamisha ufanywaji wa video, ikabidi kesho yake video irudiwe kwaio ili mcost gharama mara mbili kwa kwetu studio chini ya director traveller(msafiri)

#ElimikaWikiendi by Chapo255
 
Je, wajua video ya moyo mashine ya Ben Pol iliofanywa South Africa lile piano linalochomwa moto ilikuwa idea ya Director location kuwa lichomwe moto kweli. Ikabidi Be Pol ahitajike kulipia gharama ya piano . Video ya moyo mashine ilikuwa wazo la Fid Q

#ElimikaWikiendi by Chapo255

Loh!!
 
Je, wajua Video ya Diamond Platnumz i miss you remix ile treni kwenye video unayoiona sio treni kweli eneo la tukio(location) hapakuwa na treni ila ni utaalam ulitumika ionekane treni kweli. Na subtitle ya video aliandika Jokate mwengelo(DC)

credit by chapo255
kumbe wewe ndio chapo kilaza wa Twitter.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi umeungwa bwana. Nili reply wa kwanza kwa hiyo post ya msaga sumu kupata mke kwenye kigodoro.

Sasa si ndio nikashangaa mbona comment haiendani na mada 😂😂😂

Nikahisi umerudia vitu vyako vile​
 
Sasa si ndio nikashangaa mbona comment haiendani na mada 😂😂😂

Nikahisi umerudia vitu vyako vile​
Hahaha hata hivyo natupia tu bado. Hapa yenyewe ndio nalipua. Ibuka basi. Au na wewe ushatupia vyako maana naona hapo juu mpaka aibu nimeona mimi.
 
Back
Top Bottom