Hahaha hata hivyo natupia tu bado. Hapa yenyewe ndio nalipua. Ibuka basi. Au na wewe ushatupia vyako maana naona hapo juu mpaka aibu nimeona mimi.
Haina daz. Wewe endelea ku enjoy nsije kukurushia stim.Mie nisharipuka kitambo sana mbona,si unaona mwenyewe ze wikend iz hia
Sema itabidi niibukie hapo one time,ngoja niendelee kujiboost hapa
Huoni hata aibu mwanamke kunyoosha kidole hivo[emoji867][emoji867]
Hapana mkuu,sioni aibu kwasababu sijanyoosha
no sio mm
Je, wajua video ya moyo mashine ya Ben Pol iliofanywa South Africa lile piano linalochomwa moto ilikuwa idea ya Director location kuwa lichomwe moto kweli. Ikabidi Be Pol ahitajike kulipia gharama ya piano . Video ya moyo mashine ilikuwa wazo la Fid Q
Noo ile
#ElimikaWikiendi by Chapo255
NooJe, wajua video ya moyo mashine ya Ben Pol iliofanywa South Africa lile piano linalochomwa moto ilikuwa idea ya Director location kuwa lichomwe moto kweli. Ikabidi Be Pol ahitajike kulipia gharama ya piano . Video ya moyo mashine ilikuwa wazo la Fid Q
#ElimikaWikiendi by Chapo255