Je, wajua haya kuhusu nyimbo za hawa wasanii?

Je, wajua haya kuhusu nyimbo za hawa wasanii?

Hahaha hata hivyo natupia tu bado. Hapa yenyewe ndio nalipua. Ibuka basi. Au na wewe ushatupia vyako maana naona hapo juu mpaka aibu nimeona mimi.

Mie nisharipuka kitambo sana mbona,si unaona mwenyewe ze wikend iz hia

Sema itabidi niibukie hapo one time,ngoja niendelee kujiboost hapa
 
Je, wajua video ya moyo mashine ya Ben Pol iliofanywa South Africa lile piano linalochomwa moto ilikuwa idea ya Director location kuwa lichomwe moto kweli. Ikabidi Be Pol ahitajike kulipia gharama ya piano . Video ya moyo mashine ilikuwa wazo la Fid Q

Noo ile

#ElimikaWikiendi by Chapo255

Noo
ile piano ilichomwa makusudi na director ili kumsurprise Ben Pol na hajalipa hata sent 5, kuhusu video kweli fid q ndio mtunzi
 
Back
Top Bottom