Je, wajua haya kuhusu Nyuki na asali?

nyuki huishi chini ya siku 40, hutembelea maua angalau 1,000 na hutoa chini ya kijiko cha asali, lakini kwa ajili yake ni kazi ya maisha.
🌹🌹🌹
 
Asali tamu sana 😎 Cc ephen_
Kama niniili
kuna manzi moja nikamuuliza iweje una mtako mkubwa afu mtepemtepe akaniambia huwa anaufanyia masaj na asali mbichi.

kuna manzi moja nikamuuliza iweje una mtako mkubwa afu mtepemtepe akaniambia huwa anaufanyia masaj na asali mbichi.
Ili ulegee na kuwa mlaini!?
nyuki huishi chini ya siku 40, hutembelea maua angalau 1,000 na hutoa chini ya kijiko cha asali, lakini kwa ajili yake ni kazi ya maisha.
🌹🌹🌹
Anajua hana maisha mengi hivyo hufanya kazi kwa bidii sana kukamilisha lengo kabla hajafa
 
Moja ya asali bora kuwahi kuitumia ni niliyoinunua Nemes Green Garden mkoani Njombe! Nimeikumbuka. Nitaiagiza tena.
 
Unaweza ukafafanua kidogo jinsi wanandoa wachanga walivyoitumia asali "miaka" hiyo?
 
Kwenye suala la mafanikio, nyuki ni kiumbe bora wa kuigwa! Anaishi chini ya siku arobaini lakini matunda ya kazi yake huweza kudumu miaka mingi!
 
Hutakiwi kuikosa nyumbani na ni mbadala mzuri wa sukari
Changamoto yangu mimi ni kwamba siridhishwi na kijiko kimoja.

Nikianza kulamba, hujikuta nalamba, kisha nalamba tena na tena, wakati mwingine, mpaka "nashiba".

Halafu kumbe na kijiko cha chuma hakifai🥺

Nafikiri supermarket sitakosa cha plastiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…