Je, wajua haya kuhusu Nyuki na asali?

Je, wajua haya kuhusu Nyuki na asali?

Changamoto yangu mimi ni kwamba siridhishwi na kijiko kimoja.

Nikianza kulamba, hujikuta nalamba, kisha nalamba tena na tena, wakati mwingine, mpaka "nashiba".

Halafu kumbe na kijiko cha chumba hakifai🥺

Nafikiri supermarket sitakosa cha plastiki!
Tafuta vile vya mpingo ama mbao pori
 
Changamoto yangu mimi ni kwamba siridhishwi na kijiko kimoja.

Nikianza kulamba, hujikuta nalamba, kisha nalamba tena na tena, wakati mwingine, mpaka "nashiba".

Halafu kumbe na kijiko cha chumba hakifai🥺

Nafikiri supermarket sitakosa cha plastiki!
Tafufa
Unaweza ukafafanua kidogo jinsi wanandoa wachanga walivyoitumia asali "miaka" hiyo?
Nipe muda
 
Changamoto yangu mimi ni kwamba siridhishwi na kijiko kimoja.

Nikianza kulamba, hujikuta nalamba, kisha nalamba tena na tena, wakati mwingine, mpaka "nashiba".

Halafu kumbe na kijiko cha chumba hakifai🥺

Nafikiri supermarket sitakosa cha plastiki!
Tafufa
ukizoea kuramba asali na ndizi mbivu iliyoiva sana mpaka kuweka madoa meusi,utakua Gatuso kila mpira ulipo na wewe upo.
Straight away naanza leo😀
 
Je, unajua kwamba:
- Kijiko kimoja cha asali kinatosha kuweka mtu hai kwa masaa 24
- moja ya sarafu za kwanza ulimwenguni zilikuwa na ishara ya nyuki
- asali ina enzymes hai. Kijiko cha chuma huua enzymes hizi. Njia bora ya kutumia asali ni kijiko cha mbao, ikiwa sio, unaweza kutumia plastiki.
- asali ina dutu inayosaidia ubongo kufanya kazi.
- asali ni mojawapo ya vyakula vichache duniani ambavyo pekee vinaweza kuendeleza uhai wa mwanadamu.
- nyuki waliokoa watu kutokana na njaa barani Afrika.
- propolis inayozalishwa na nyuki ni mojawapo ya antibiotics yenye nguvu zaidi ya asili.
- asali haina tarehe ya kumalizika muda wake.
- Miili ya wafalme wakuu wa dunia ilizikwa kwenye majeneza ya dhahabu na kisha kufunikwa na asali ili kuzuia kuoza.
- neno "honeymoon" linatokana na ukweli kwamba wanandoa wachanga walitumia asali kwa madhumuni ya uzazi baada ya ndoa.
- nyuki huishi chini ya siku 40, hutembelea maua angalau 1,000 na hutoa chini ya kijiko cha asali, lakini kwa ajili yake ni kazi ya maisha.
Asante sana nyuki unastahili maua yako!View attachment 3096103
Copied from Facebook
 
Nyuki ana mpangilio wa majukumu,Nyuki si goigoi wala lelemama,Nyuki anazalisha bidhaa (asali) ila mjomba wake Nzi yeye akijiamkia huyoo kwenye mavi,hana mpangilio na hazalishi chochote.Tuishi kama Nyuki.
Na hadithi yangu imeishia hapooo.
 
Back
Top Bottom