Je, wajua haya kwenye Ulimwengu wa soka?

Je, wajua haya kwenye Ulimwengu wa soka?

Matanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
2,281
Reaction score
3,976
Mnamo mwaka 1966 kombe la dunia liliibiwa na baadae mbwa akalipata siku chache kabla ya mshindano hayo kuanza[emoji4]. Kombe la dunia kwa mara ya kwanza lilitengenezwa kwa makaratasi na kubadilishwa baada ya kuharibiwa na mvua kali iliyonyesha. Siku hizi kombe hilo linatengenezwa na zahabu yenye uzito upatao kilo 4.97

Sasa umejua.
 
Nakujuzaaa

*Kipindi yupo Madrid Christiano Ronaldo alizifunga timu zoteee za ligi kuu ya HIspania na hata iliyokua timu yake ya Real Madrid kwa goli la kujifunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1430]* #Respect
 
Nakujuzaaaa


*Mnamo mwaka 1966 kombe la dunia liliibiwa na baadae mbwa akalipata siku chache kabla ya mshindano hayo kuanza[emoji4]. Kombe la dunia kwa mara ya kwanza lilitengenezwa kwa makaratasi na kubadilishwa baada ya kuharibiwa na mvua kali iliyonyesha. Siku hizi kombe hilo linatengenezwa na zahabu yenye uzito upatao kilo 4.97[emoji16][emoji16].*

Sasa umejua.
Lilikuwa na ukubwa wa ujazo wa lita ngapi
 
Nakujuza

*Mwaka 1992 mwezi wa 2..tareh 20. Ndio kipute cha EPL kilianza rasmi[emoji4][emoji460][emoji460][emoji460]*

*Ukitaka kumjua Bingwa alikua nani msimu huo..nifate mjuzi inbox [emoji16][emoji626][emoji626]*

[emoji1492][emoji1492]
 
Nakujuzaaa

*Kuanzia msimu wa 94-95 mpaka sasa..ni timu 5 pekee zimebeba EPL... Man united,City,Chelsea,arsenal na Leicester city*

Wanangu wa Liverpool mnizoee sasa[emoji4][emoji847]


[emoji1492][emoji1492][emoji1492]
 
Nakujuzaa

Chukua hii...[emoji4]

*Club ya Chelsea ndio inaongoza kwa kuwa na kadi nyingi za njano..EPL..jamaa wana kadi za njano 1200[emoji15]*
 
Chukua hii..[emoji847]

*Sunderland msim wa 2005-06 pamoja na Derby County.. msimu wa 2007-08 waliweza kushinda mechi Moja tu ya Nyumbani Ligi kuu ..hii ni moja ya rekodi mbaya kuwahi kutokea EPL[emoji2948]*
 
Mnamo mwaka 1966 kombe la dunia liliibiwa na baadae mbwa akalipata siku chache kabla ya mshindano hayo kuanza[emoji4]. Kombe la dunia kwa mara ya kwanza lilitengenezwa kwa makaratasi na kubadilishwa baada ya kuharibiwa na mvua kali iliyonyesha. Siku hizi kombe hilo linatengenezwa na zahabu yenye uzito upatao kilo 4.97

Sasa umejua.
zahabu-dhahabu 😀😀Napita tuu
 
JamiiForums-573749669.gif

Mtoa mada jinsi anavyotupeleka[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Back
Top Bottom