Je wajua, Jerusalem ni Jiji pekee linalopatikana Duniani na Mbinguni?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!!

Yapo majiji mazuri duniani Hilo halipingiki,

Lakini, Pana Jiji liitwalo Jerusalem, Jerusalem ni Jiji pekee ambalo lipo duniani na Mbinguni.

Na hayupo na hatokuwepo atakayeingia Mbinguni ikiwa Si Mwisrael wa mwilini au wa rohoni.

Ikiwa unapenda kuwa mmoja wa raia wa Jiji hili zuri la Mbinguni Jerusalem, fuatisha Sala hii,

Ee Mungu katika jina la Yesu Kristo, ninakukiri wewe kuwa bwana na mwokozi wa maisha yangu, ninatubu dhambi zangu zote, ninaomba unisamehe, ulifute jina langu katika kitabu cha hukumu, uliandike jina langu katika kitabu cha uzima, nipe uwezo wa kuishi maisha matakatifu, dhambi isinishinde, uovu usinishinde, ulevi usinishinde, ninaomba hayo kupitia jina la Yesu Kristo aliye bwana na mwokozi wa maisha yangu. Amen

Karibuni πŸ™
 
Afya ya akili
 
Thibitisha Mungu yupo na mbingu hiyo ipo.
 
Ameen
 
Tafuta pesa, duniani kuna sehemu nzuri kuliko inavyotajwa hiyo Pepo
 
Tumia akili kidogo basi mi naona kinacho kup tabu labda ni tafsiri tu ndio ujui JERU= JIJI na salem =AMANI/SALAMAYHN KM ILIVYO KWA DAR ES SALAAM TU
 
Tumia akili kidogo basi mi naona kinacho kup tabu labda ni tafsiri tu ndio ujui JERU= JIJI na salem =AMANI/SALAMAYHN KM ILIVYO KWA DAR ES SALAAM TU
Je wajua Jerusalem inapatikana Duniani na Mbinguni wakati huo huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…