Je wajua, Jerusalem ni Jiji pekee linalopatikana Duniani na Mbinguni?

Je wajua, Jerusalem ni Jiji pekee linalopatikana Duniani na Mbinguni?

Salaam, Shalom!!

Yapo majiji mazuri duniani Hilo halipingiki,

Lakini, Pana Jiji liitwalo Jerusalem, Jerusalem ni Jiji pekee ambalo lipo duniani na Mbinguni.

Na hayupo na hatokuwepo atakayeingia Mbinguni ikiwa Si Mwisrael wa mwilini au wa rohoni.

Ikiwa unapenda kuwa mmoja wa raia wa Jiji hili zuri la Mbinguni Jerusalem, fuatisha Sala hii,

Ee Mungu katika jina la Yesu Kristo, ninakukiri wewe kuwa bwana na mwokozi wa maisha yangu, ninatubu dhambi zangu zote, ninaomba unisamehe, ulifute jina langu katika kitabu cha hukumu, uliandike jina langu katika kitabu cha uzima, nipe uwezo wa kuishi maisha matakatifu, dhambi isinishinde, uovu usinishinde, ulevi usinishinde, ninaomba hayo kupitia jina la Yesu Kristo aliye bwana na mwokozi wa maisha yangu. Amen

Karibuni 🙏
Amina mkuu,kwa ninavyojua mimi unaposema jiji manake kuna mabarabara,mabenki,hospitali,trafiki wa kuongozea magari,n.k,,sasa unaposema kuna jiji la jerusalem mbinguni na duniani?/ ina maana jiji la jerusalemu la mbinguni lina hayo mambo?????
 
Lina sifa zote zaidi ya hizi za huku.
 
Back
Top Bottom