Je wajua, Jerusalem ni Jiji pekee linalopatikana Duniani na Mbinguni?

Tuondolee huu utopolo
 
Proved

Israel ni Ishara ya Mungu duniani.

Wakristo pia ndio sababu ya Amani hata hii kidogo duniani.

Pasipo Israel na wakristo, Dunia itachomeka.
 
Hapana ila nilichokijua ni hauna akili
 
Aisee!
 
Hata kwenye muvi sishangai, wazungu wanapenda kudifine Ulimwengu mzima uko ktk nchi zao, janga la USA linatangazwa kama janga la Ulimwengu, uvamizi kwa nchi ya wamagharibi unakuzwa na kuitwa uvamizi wa dunia nzima, watu wa aina hii kwanini wasijipendelee hata ktk maandiko kuvipa vipaumbele vitu vyao, majina Yao, tamaduni zao, tabia na Ushenzi wao upo ktk hizo dini za ukristo na uislam.

Angalau ningeona muafrika kapewa kipaumbele hata kwa 30% ktk dini zao ningeshawishika kuziamini, lkn haimake sense mtu mzima kuamini mambo yasiyo na uhalisia.
 
Uhalisia ni kuwa,

Kwanza Jiji la Jerusalem lipo.

Pili Jiji Hilo lipo Duniani na Mbinguni wakati huo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…