Je wajua kuhusu Super charge na turbo charge jinsi zinavyofanya kazi

Joined
Feb 4, 2025
Posts
22
Reaction score
22
Super charge ni kifaa kinachofungwa kwenye exhaust manifold kwa ajiri ya kuongeza nguvu ya utoaji wa hewa chafu nje ya injini baada ya kuunguzwa kwa mchanganyiko wa hewa na mafuta.Lakini Turbo charge ni kifaa kinachofungwa kwenye intake manifold kwa ajiri ya kuongeza nguvu ya uingizaji wa hewa ndani ya silinda au injini kwa ajiri ya kufanyiwa uchomaji...
 
Nomeikumbuka Mark ll Super Charger 24 Valve, muziki wake haukuwa wa kitoto aisee
 
Mkuu maelezo yako yana utata, turbo charger inachukua hewa kutoka kwenye exhaust manifold kisha inaipoza kwenye intercooler na kuiingiza hewa safi na baridi kwa kasi kupitia turbine(turbo) kwenye chamber za kuchomea mafuta.

Supercharger ufanyaji kazi wake hii inategewa kwenye pulley za timing belt au chain inafanya kazi kuendana na mzunguko wa engine, inapeleka hewa safi kupitia turbo kwenye engine cylinder
 
Umejibu vyema
 
Gari yenye turbocharger ni Raha Sana huwa nafurahi Sana jinsi gari inavyonipa matokeo hasa nikitoka kuovertake
 
Back
Top Bottom