Makungu charles
Member
- Feb 4, 2025
- 22
- 22
NdioSoo hapo ndoo znavokanya kaz??
Nomeikumbuka Mark ll Super Charger 24 Valve, muziki wake haukuwa wa kitoto aiseeSuper charge ni kifaa kinachofungwa kwenye exhaust manifold kwa ajiri ya kuongeza nguvu ya utoaji wa hewa chafu nje ya injini baada ya kuunguzwa kwa mchanganyiko wa hewa na mafuta.Lakini Turbo charge ni kifaa kinachofungwa kwenye intake manifold kwa ajiri ya kuongeza nguvu ya uingizaji wa hewa ndani ya silinda au injini kwa ajiri ya kufanyiwa uchomaji...
Kiukwel zilikuwa ni gari nzuri SanaNomeikumbuka Mark ll Super Charger 24 Valve, muziki wake haukuwa wa kitoto aisee
Umejibu vyemaMkuu maelezo yako yana utata, turbo charger inachukua hewa kutoka kwenye exhaust manifold kisha inaipoza kwenye intercooler na kuiingiza hewa safi na baridi kwa kasi kupitia turbine(turbo) kwenye chamber za kuchomea mafuta.
Supercharger ufanyaji kazi wake hii inategewa kwenye pulley za timing belt au chain inafanya kazi kuendana na mzunguko wa engine, inapeleka hewa safi kupitia turbo kwenye engine cylinder