Je Wajua Kuna Aina Mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika na Shetani wa Mbinguni ambao ni Pepo na Malaika na Shetani wa Duniani ambao ni Watu?.

Baada ya sayansi kutufunua kwamba angani kuna nyota nyiingi, na galaxy yetu ya milkway ina sayari nyingi tu, huwa sielewi kwanini shetani na binadamu wote tunaishi duniani.

Ikiwa mungu alimtupa shetani alipaswa ampeleke huko Neptune au Jupiter, sielewi kwanini sisi binadamu atuweke Duniani na shetani naye amuweke Duniani.

Shetani alitupwa, maana nyingine Duniani ni kama Dampo la Mungu, sasa iweje nasi tuwe Duniani wana wapendwa?

Kama sisi ni waovu hakuna wa kuchomoa humu duniani wote ni takataka, au sisi ndio mashetani wenyewe.

Mungu hashindwi, ampeleke shetani mercury, Mars au Jupiter ikiwezekana.

sioni logic eti mzazi uwalaze wanao vipenzi jela na mifungwa mitukutu, wakati una uwezo wa kuwatenganisha waovu na wema.

Wazungu wanaishi na mbwa wao ndani, lakini mbwa ni mbwa tu habadiriki kuwa mwanadamu, na hata ukimfuga Punda kwenye banda la Ng'ombe hawezi kubadirika, sasa kwanini Mungu atuchanganye na Shetani mwovu Duniani?
 
Hauna haki ya kuwa chawa ni kujikosesha heshima tu, hamlipwi mnashinikizwa sababu mnafahamika.
mtu kama Pascal Mayalla
wanakuambia deal na siasa utusifie sio kupinga kama hutaki fanya mambo mengine otherwise kimekuramba
Mkuu Oga, OgaBoy, kwanza naheshimu maoni na mawazo yako hata kama sikubaliani nayo,
kuna watu ukiwasoma kwa juu juu, utawaona kama ni chawa kwasababu tuu bandiko linaanza na pongezi, but its the contents that matters.
Ukisoma bandiko kama hili, ukiishia kusoma headline, utajua ni bandiko la kichawa ila ukizama ndani, ndio utakutana na ujumbe kusudiwa.

Watu wenye fani ya mawasiliano ya kimkakati, strategic communications ndio wenye uwezo wa kuandika hivi, unamsoma mtu, ukamjua anapenda nini, hivyo unaanza kwa kumpa anachokipenda, kisha unamfikishia ujumbe, na amini usiamini, enzi za JPM, ujumbe ulikuwa unafika na unafanyiwa kazi na matokeo unayaona.
Kwa sisi ambao ni wa zamani, akija mgeni lazima achinjiwe kuku, hivyo kazi ya kumkimbiza jogoo hadi achoke ndipo umkamate achinjwe, unaachiwa wewe, usipotumia akili, utahangaika sana, kumbe dawa ni simple tuu, unamtupia mtama kidogo kidogo hadi kwenye 18 zako unamkamata kiurahisi kabisa!.

Headline nyingine ni mtama tuu, ila ujumbe ni mwingine.

Ila kwa vile siku hizi humu jf, viazi mbatata ni vingi humu, mabandiko kama haya, viazi na vilaza wanaishia chjaka, na ndio mambo sasa haya ya kuanza kuitana machawa humu.

Mzee Pasco
 
KWA hiyo pascal binaadamu ndio malaika tunaoishi motoni au sio
 
KWA hiyo pascal binaadamu ndio malaika tunaoishi motoni au sio
Hapa nazungumzia kitu kinachoitwa duality, yaani nafsi mbilimbili.
Malaika na shetani wanaishi peponi na motoni, they are the same on everthing, tofauti yao ni moja tuu, ni matendo yao, malaika hutenda mema tuu na shetani hutenda maovu.

Hapa duniani kwa sisi wanadamu au binadamu, miongoni mwetu kuna binadamu ni malaika wa hapa duniani, wanatenda mema, na kuna baadhi ya wanadamu ni mashetani wanatenda uovu.

Hawa binadamu malaika wema mwisho wa maisha yao hapa duniani, wanakwenda mbinguni na kujinga na malaika wengine, na wale binadamu mashetani wanakwenda motoni kujiunga na mashetani wengine.

P
 
Wanabodi

Kufuatia kilicho mtokea Humphrey Polepole, naomba mtanisamehe bandiko hili nalikatia hapa, halitaendelea, limekuwa overtaken by events!.
Samahani sana.

Paskali
Hata kilichomtokea VP, Dr. Emmanuel Nchimbi, bandiko hili linasadifu!.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…