Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,479
- 2,877
Mkuu ungegombea Udiwani kwanza ili ujifunze namna siasa za ushindani zinavyokwenda siku hizi.Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi kuhamasisha uzalendo kwa taifa letu kupitia makala elimishi hizi za " Kwa Maslahi ya Taifa"
Swali katika mada yangu ya leo ni katika kuwapata wagombea wa CCM, Je, vikao vya uteuzi vya CCM, vitazingatia tuu matokeo ya kura za maoni, ambayo ndio maslahi ya CCM, au navyo vitangulize mbele maslahi ya taifa kwa kutupatia wagombea wazuri, watu safi, waadilifu na wenye uwezo wa uongozi hata kama kwenye kura za maoni, wamepa kura sifuri?
Vikao vya uteuzi vya CCM, vinakaa wiki hii, kuteua wagombea ubunge na udiwani, hivyo hili ni bandiko la ushauri, info pack kwa chama changu cha Mapinduzi, CCM, kwa kuwajulisha kuwa miongoni mwa watangaza nia kupitia CCM, kuna watu wazuri, watu safi, watu waadilifu na wenye uwezo wa uongozi waliogombea kupitia CCM na kutaka kuingia Bungeni kwa lengo la kwenda kulisaidia Taifa, Bunge, na kumsaidia JPM kwa dhati kabisa ya kusaidia kufuatia kubaini madhaifu mbalimbali ya Bunge na serikali, na kufuatia uadilifu wao, watu safi wazuri, waadilifu hawa, hawakutoa hata senti tano!, na kwa vile watu hawa hawakutoa hata senti 5!, na kufuatia ule msemo wa Waswahili usemao "Mkono mtupu haulabwi", wajumbe walifanya yao!
Kama sasa na vikao vya uteuzi vya CCM, vitazingatia tuu kura za wajumbe na matokeo ya kura za maoni pekee, then CCM, itapoteza watu wengi safi, wazuri, waadilifu na wenye uwezo wa uongozi, lakini watakosa kuteuliwa kwasababu hawakutoa chochote na matokeo yake hawakupigiwa kura zozote na wajumbe.
Mimi ni miongoni mwa kundi hili ambaye nilitangaza nia kugombea kupitia CCM, sikutoa hata senti tano kwa yoyote, na katika kura za maoni, nikavuna nilichopanda!
Hizi ni baadhi ya agenda zangu zilizonivutia kwenda Bungeni.
Japo wajumbe walifanya yao, lakini kufuatia trends za siasa za Tanzania kwa sasa zinaonyesha Bunge lijalo linakwenda kuwa ni Bunge la CCM predominantly, bado naamini ili Bunge hili liwe na impact ya kuisaidia serikali, linahitaji baadhi ya mijitu bold na critical thinkers ambao watakuwa critical kule Bungeni, vinginevyo kama tutajaza wapiga meza tu kuunga mkono kila kitu, then kiukweli kabisa, Bunge lijalo lita.
Naomba nisimalizie.
Mungu waongoze wajumbe wa vikao vya maamuzi, kutuchagulia watu wazuri, waadilifu wenye uwezo ambao sio tuu watawasaidia wananchi, watalisaidia Bunge na kuisaidia serikali ikiwa ni kumsaidia Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki CCM.
Paskali
Kada wa CCM.
Pole sana kaka Paskali, yote ni mapito,Wanabodi,

Mkuu Fundi, sababu nimezitaja hapa.Ulipata vip kura moja kwenye kura za maoni kwa nini ulipata kura moja tu!?
Wewe Ulishindwa vipi kuwa shawishi wajumbe ambao hawaja zidi ata 500!
Natumaini umezielewa.Wanabodi,
Mimi ni miongoni mwa kundi hili ambaye nilitangaza nia kugombea kupitia CCM, sikutoa hata senti tano kwa yoyote, na katika kura za maoni, nikavuna nilichopanda!
Hizi ni baadhi ya agenda zangu zilizonivutia kwenda Bungeni.
Paskali
Kada wa CCM.
Njaa mbaya sanaMkuu Fundi, sababu nimezitaja hapa.
Natumaini umezielewa.
P
Wanobodi
Hizi ni baadhi ya agenda zangu zilizonivutia kwenda Bungeni.
Paskali
Ndugu yangu Mkuu Rebeca 83, kwanza naomba kukujulisha kuwa wewe ni miongoni mwa members wa jf, who have the powers to make things happen!. Kumbe ungenichagua, tatizo ni hujui nasimamia nini, hivyo naomba kukukaribisha mitaa hii ili niweze kujitambulisha kwa karibu who I am and what I stand for, ili uweze kunifahamu kwa karibu naingekua kumchagua ningemchagua...ila huwaga simuelewi anasimamia nini,huku yupo..kule yupo