Uchaguzi 2020 Je, wajua kuna watu wazuri, waadilifu wenye uwezo, wanaotaka kuingia Bungeni kulisaidia Taifa, Bunge na kumsaidia JPM kwa dhati, lakini kwa vile...

Imetokea Kawe kulikuwa na mchuano mkali na Paskali alikosa kabisa ushawishi kwa wajumbe na NEC ya CCM pia haikumwona anatosha.

Pamoja na haya, bado wengi twamona Paskali kama mmoja ya wasomi wenye uwezo wa kuwa "game changers"

Ikimpendeza Mhe. Rais, tunakuombea akuteue kwenye viti 10 au mahali pengine ambapo ataona unafaa.

Tunakutakia heri mkuu Paskali.
 
Wanabodi,

Kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi kuhamasisha uzalendo kwa taifa letu kupitia makala elimishi hizi za " Kwa Maslahi ya Taifa"

Swali katika mada yangu ya leo ni katika kuwapata wagombea wa CCM, Je, vikao vya uteuzi vya CCM, vitazingatia tuu matokeo ya kura za maoni, ambayo ndio maslahi ya CCM, au navyo vitangulize mbele maslahi ya taifa kwa kutupatia wagombea wazuri, watu safi, waadilifu na wenye uwezo wa uongozi hata kama kwenye kura za maoni, wamepa kura sifuri?

Vikao vya uteuzi vya CCM, vinakaa wiki hii, kuteua wagombea ubunge na udiwani, hivyo hili ni bandiko la ushauri, info pack kwa chama changu cha Mapinduzi, CCM, kwa kuwajulisha kuwa miongoni mwa watangaza nia kupitia CCM, kuna watu wazuri, watu safi, watu waadilifu na wenye uwezo wa uongozi waliogombea kupitia CCM na kutaka kuingia Bungeni kwa lengo la kwenda kulisaidia Taifa, Bunge, na kumsaidia JPM kwa dhati kabisa ya kusaidia kufuatia kubaini madhaifu mbalimbali ya Bunge na serikali, na kufuatia uadilifu wao, watu safi wazuri, waadilifu hawa, hawakutoa hata senti tano!, na kwa vile watu hawa hawakutoa hata senti 5!, na kufuatia ule msemo wa Waswahili usemao "Mkono mtupu haulabwi", wajumbe walifanya yao!

Kama sasa na vikao vya uteuzi vya CCM, vitazingatia tuu kura za wajumbe na matokeo ya kura za maoni pekee, then CCM, itapoteza watu wengi safi, wazuri, waadilifu na wenye uwezo wa uongozi, lakini watakosa kuteuliwa kwasababu hawakutoa chochote na matokeo yake hawakupigiwa kura zozote na wajumbe.

Mimi ni miongoni mwa kundi hili ambaye nilitangaza nia kugombea kupitia CCM, sikutoa hata senti tano kwa yoyote, na katika kura za maoni, nikavuna nilichopanda!

Hizi ni baadhi ya agenda zangu zilizonivutia kwenda Bungeni.

Japo wajumbe walifanya yao, lakini kufuatia trends za siasa za Tanzania kwa sasa zinaonyesha Bunge lijalo linakwenda kuwa ni Bunge la CCM predominantly, bado naamini ili Bunge hili liwe na impact ya kuisaidia serikali, linahitaji baadhi ya mijitu bold na critical thinkers ambao watakuwa critical kule Bungeni, vinginevyo kama tutajaza wapiga meza tu kuunga mkono kila kitu, then kiukweli kabisa, Bunge lijalo lita.

Naomba nisimalizie.

Mungu waongoze wajumbe wa vikao vya maamuzi, kutuchagulia watu wazuri, waadilifu wenye uwezo ambao sio tuu watawasaidia wananchi, watalisaidia Bunge na kuisaidia serikali ikiwa ni kumsaidia Rais John Pombe Joseph Magufuli.

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki CCM.

Paskali
Kada wa CCM.
Mkuu ungegombea Udiwani kwanza ili ujifunze namna siasa za ushindani zinavyokwenda siku hizi.

Lakini pia usikate tamaa, JPM anaweza kukumbuka kwenye teuzi zake 10 za Ubunge.
 
Pole sana kaka Paskali, yote ni mapito,
Naomba nikuambie agenda ya ibilisi ilivyo shika hasa vyombo au mamlaka za nchi hasa zenye kufanya uteuzi, kuajiri, au kufanya decision kuhusu nchi, ni kwamba unakuta MTU yupo safi sana akiwa nje ya system lakini punde tu anapopata nafasi ya kuingia kwenye ivyo vyombo au mamlaka basis ugeuzwa kifikra na kimtazamo moja kwa moja na kubadilisha agenda aliyokuwanayo before ajaingia ndani yao.
Ni VP ......ni wamba ndani ya mifumo mingi ya nchi yetu haitaki kabisa watu wakweli na wanaofanya kazi kwa kumcha Mungu.
Ni kwamba agenda ya ibilisi ni kuona watu wanakuwa maskini sana na kuangaika bila mafanikio, ndo maaana tunapata viongozi wala rushwa,wachochezi, walafi, wanaokurupuka na mahamuzi yasiyo na busara.
Kwa iyo bro ayo yote unayoyaona ni agenda sake mtawala was Giza.
Na pole sana maana siyo we we tu uliyepitia mkasa km wako,lkn mwisho wa siku,sie wengine tunajua kinachoendelea ktk ulimwengu wa rohoo.
 
Ulipata vip kura moja kwenye kura za maoni kwa nini ulipata kura moja tu!?
Wewe Ulishindwa vipi kuwa shawishi wajumbe ambao hawaja zidi ata 500!
Mkuu Fundi, sababu nimezitaja hapa.
Wanabodi,

Mimi ni miongoni mwa kundi hili ambaye nilitangaza nia kugombea kupitia CCM, sikutoa hata senti tano kwa yoyote, na katika kura za maoni, nikavuna nilichopanda!

Hizi ni baadhi ya agenda zangu zilizonivutia kwenda Bungeni.

Paskali
Kada wa CCM.

Natumaini umezielewa.
P
 
Hahaha ccm hakuna mtu mzuri, hakuna mtetezi wa wananchi bali chama.

Ni kupoteza muda kuichagua ccm.

By the way wamesema hawahitaji kura zetu, hivyo kura zote kwa Tundu Lisu na CHADEMA.
 
Wanobodi

Hizi ni baadhi ya agenda zangu zilizonivutia kwenda Bungeni.

Paskali

ingekua kumchagua ningemchagua...ila huwaga simuelewi anasimamia nini,huku yupo..kule yupo
Ndugu yangu Mkuu Rebeca 83, kwanza naomba kukujulisha kuwa wewe ni miongoni mwa members wa jf, who have the powers to make things happen!. Kumbe ungenichagua, tatizo ni hujui nasimamia nini, hivyo naomba kukukaribisha mitaa hii ili niweze kujitambulisha kwa karibu who I am and what I stand for, ili uweze kunifahamu kwa karibu na
ukiisha nifahamu, ikitokea ukanikubali kwa ninacho kisimamia, kwa vile kwa sasa mimi ni "mtia nia mahali",
Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!
ninacho omba kutoka kwako, it's just your "well wish will power" to me, to make it happen!.

P.
 
Back
Top Bottom