Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

Mkuu tindo bila shaka umeisoma hii.
 
Hii ni aibu kwa Mwenyekiti.
 
Mkuu,
Kumbe na wewe umo kwenye kitengo cha propaganda? Wewe kama Paskali unayajuaje yote haya?
 
.
Njaa, sukuma empire! Uozo! Kuna wajinga wachache wanakuona wewe kama una merits!! Wewe ni takataka na mtupu kanjanja!!
 
Sawa, lakini katika tabiri zako zote hujawahi kuiombea mema chadema!! so hata ikifa kwako ni furaha tu, si CCM itakuwa free mzee!!
 
Si vizuri kuua upinzani lakini pia si vizuri kuwa na vyama vya upinzani vinavyofanya siasa za ki-harakati.
Chadema/NCCR/ACT na wengineo njoo na Sera/Itikadi/Vision/Mission. Wananchi wakielewa haya mtatumia nguvu kidogo lakini style hii ya harakati hatutoboi.
Halafu naona kuna watu hawajui kishindo cha Rwakatale, muulize mzee Mkapa alivyohangaishwa Bukoba Mjini na kauli mbiu ya "wananchi ngangari" enzi za CUF.
 
Asante mkuu, yaani msukuma paskail anajiwepesisha sana kwa makala ndefu akiamini ndio zitakuwa Torati za Musa.
 
Chadema ile ya 2015 kabla ya kuondoka Dr Slaa unaweza kuifananisha na hii ya 2020 au unaandika kwa ubishi tu?
Kwani mazingira ya kisiasa wakati wa Slaa ni Sawa na haya ya sasa? Au unataka ligi tu? Hujui kuwa CCM wanafanya siasa peke yao lakini cha ajabu wanaogopa CHADEMA kupita kawaida? Slaa kapata msukosuko kidogo tu kaweka mpira kwapani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lwakatare keshachukuliwa hatua na CHADEMA.
Kwa hiyo sijui bado anangoja au mnangojea nini kumwaga hiyo mboga?
Au ndio style zile zile za huyo aliewahi kuwa hasimu wenu na yawezekana keshakuwa mshikaji;Comrade Mwigulu Nchemba. Comrade aliishia kuwa kichekesho kwa kushindwa kutoa uthibitisho wa tuhuma dhidi ya Lwakatare HATA hapa duniani alipo, achilia mbali mbinguni ambako hatujui ataenda lini.
Mnaomuogopa Comrade Mwigulu mpaka sasa ndio haswa wenye matatizo.
Mtamwogopaje mbabaishaji?
 
Rwakatare muda mwingi amekuwa akiutumia kuuguza KISUKARI chake cha miaka nenda miaka rudi. Kazi hizo za Usalama hakuwa akizifanya kwa muda mwingi. Hata kuacha kugombea ubunge ni sababu ya Afya yake ambayo ni mbaya sana anahitaji kupumzika.

Kuhusu umafya hii ni hoja ya kitoto kama sio dhaifu kabisa. Tangu mfumo wa vyama vingi uanze Chadema imeondokewa na Makatibu wakuu watatu, Kabourou, Slaa na Mashinji. Na kwa structure ya Chadema Kurugenzi zote za Makao makuu zipo chini ya Katibu mkuu. Umma haukupaswa umsubiri Rwakatare aje aamue kuacha siasa kwa sababu ya Maradhi ndio usikie huo UMAFYA. Kama huo Umafya upo tungesikia wakati wa Kabourou, au Slaa ambaye ameiacha Chadema ikiwa tishio kwa Vyama vingine vyote, au Mashinji. Lakini wote wanaoondoka wanatoka na Chorus Ile Ile walioondoka nayo kina Gekul. Hakuna jipya. Hata juzi Spika wakati anatangaza kuwakumbatia kina Silinde aliimba pambio lile lile la Mbowe anawapelekesha wabunge. Labda hilo la Mbowe kuwapelekesha wabunge ndio liwe umafia wenyewe. Lakini hakuna umafia wowote, kwa political intensity ilipofika yangekuwepo hayo tungeshayajua muda sana.

Mwisho nikukumbushe, Mayalla kwa lugha yetu ya Kisukuma maana yeke ni NJAA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Pascal Mayala huyu ndiye yule aliyekuwa akiwaweka kiti Moto Mawaziri akina William Kusila hadi wanatamani ardhi ipasuke au ni mwingine!!? Mbona huyu hana tofauti na zezeta la Manzese!!!
 
Boss Pascal Mayalla Namnukuu Prof Asad, kuna siku alisema ... Tujenge Taasisi Imara na si WanaSiasa au Mtu.
Ukiwa na Taasisi Imara itatoa mazao ya Watu Imara.

Walivyomkata Mamvi, walimwambia, Hakuna Mtu maarufu zaidi ya Chama, Mamvi alikuwa maarufu kwenye Chama, Mamvi alikishika Chama, Mamvi alikuwa kila Kona ya Chama, Pia wapo wengi wamekatwa baada kuwa maarafu kuliko Chama, au walikitumikia kwa Jasho na Damu, Mifano ni mingi, PeNa, February, Katibu Mkuu Mstaafu NaKina na wengine wengi.

Mwisho, Kukipigania Chama kwa Jasho na Damu isiwe sababu ya Kuvimba kichwa na kujiona wewe ndio wewe, Hakuna Mtu mwingine zaidi yako.


 
Mzee Lwakatare anachekesha sana.
Lakini nadhani hulka ya unshomile pia imechangia, kujiona yeye mukubwa sana ndani ya cdm.
 
Rwakatare ni msaka nyoka ni mshamba fulani hana lolote yule keshapotea hivyo kawa mbunge wa nyumbani kwa Ndungai
 
kwaiyo umeamuaje wewe kama mchomaji
 
Asante mkuu, yaani msukuma paskail anajiwepesisha sana kwa makala ndefu akiamini ndio zitakuwa Torati za Musa.
Makala ndefu kwanza huchosha kusoma na ndipo watu wengi huchoka kuzisoma na kuishia kumtukana mayala Paskal aliyejitoa fahamu kuvizia Teuzi za mtukufu malaika toka chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…