Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

Mkuu umeandika taka taka... [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]....
Wewe ni CCM ya CDM yanakuumiza vipi...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tindo bila shaka umeisoma hii.

Nimeisoma vizuri sana, je kuna siri gani hapo za kuiua cdm? Anasema cdm iliogopwa, je ni kipi amefanya toka awamu hii ya tano imeingia madarakani? Mbona tumeona chaguzi zikinajasiwa wazi wazi? Huo uchaguzi wa SM juzi umenajisiwa wote, yeye amefanya nini? Je yuko huko bungeni amefanya nini kupata solution ya chaguzi kunajisiwa? Ni kweli cdm inaweza kufa kama taasisi nyingine zinavyokufa, ila sio kwa hizo mnazoita siri alizonazo Lwakatare. Anachokifanya huyo Lwakatare ni kujihami kwa kuleta historia ndefu ili kuhalalisha tofauti zake za kimsimamo za sasa na chama chake, nothing else.
 
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna msemo kuwa kadri mtu anavyozidi umri huwa akili inazidi kupungua.Msemo huu hauna uhalisia kwa 100%ila wewe pascal,Mwigulu,Magufuli,Kabudi,Lwakatare,Musiba n.k. ndio mnathibitisha kuwa mkifikisha umri miaka 70 mtapelekwa mirembe.
Kukaa kimya nako ni majibu.Katika utabiri wako wa manyuzi kibao unayounvanisha ni 20% tu yana uhalisia lakini mengi ni porojo tu.Huna tofauti na Musiba.Huna tofauti na Punda anayekata roho.Kama huwezi kutabiri kausha.Eti kumwaga ugali kisa kavideo.Wewe ni mpumbavu sio siri.Mwambie amwage kama naye n mjinga kma wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moderator waufunge uzi hapa inatosha japo hujaeleza kwa kina.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mkuu P ni mkongwe na yuko karibu na watawala na akimalizaga interview zake na wakubwa hatujui nyuma ya camera wanaongeaga nini Mimi nashauri Chadema wasiupuuze huu ushauri wa Mkuu P,waufanyie kazi sometime mtu anaekutakia mema hua anakushauri before
 
Lwaka kalipwa fedh, alikuwa na wadhifa wa juu lakini hizo kasfa ni za kitoto na hazina uhalisia.
Hivi Mbowe ndiye wa kutoka na wanawake wabunge viti maalumu tu, hawezi kutoka na wa majimbo?
Hawezi kutoka na watoto wa CBE na UDOM kama ambavyo wabunge wa upande wa pili wanafanya?
Mbowe ana ratiba kama mfalme sulemani kuzungukia wabunge wote wa upinzani na kulala nao?/
Mbowe hana mke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…