Mh! Pascal Mayalla kabla ya kupost next time kaa utafakari sana unapost nini? Yaani Lwakatale akitoka na CDM inatoweka? You are jeopardizing your credibility! for just petty politics
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
slaa ni mzinzi wa mke wa mtu! slaa ni msaliti wa ukatoliki...Naunga mkono hoja Tatizo la chadema viongozi wake wavivu wa kusoma wanachama wake wavivu wa kusoma siungi mkono dhuruma za CCM ila sijaona bado wakikutoa madarakani kwa Aina viongozi km wa chadema... View attachment 1450248View attachment 1450249
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazeeeekaaaa vibaya mzeeeee inawezekana unaiota cdm daily itakuoa soonWanabodi,
Kuna vitu mimi huwa navisema humu na watu wanavichukulia poa, ila vikija kutokea ndipo wenye uelewa wanaanza kuelewa nilikuwa nazungumzia nini.
Hivi ni baadhi ya vitu nilivyovisema na kweli vikaja kutokea
Sasa ninachokisema leo ni kuwa sio wengi wanajua kuwa hatma ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, iko mikononi mwa Mhe. Wilfred Lwakatare?. Chadema imepakua ugali kwa kila mtu kupewa ugali kwenye sahani yake, Kamati Kuu ya Chadema, wakaamua kuipindua sahani ya ugali wa Lakwatare, na kuumwaga ugali ili Lwakatare asile, huku wengine wote wakiwa na ugali wao kwenye sahani zao, wakisubiri bakuli la mboga litetwe, huku haku mwenye kumbukumbu ni nani aliyetumwa jikoni kwenda kuleta bakuli ya mboga, watu wapakuliwe ndipo wale!.
- Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums
- Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - JamiiForums
- Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii - JamiiForums
- Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG? - JamiiForums
- Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba - JamiiForums
Mara aliyeibuka jikoni na bakuli ya mboga ni Mhe. Wilfred Lwakatare!, Amelishika bakuli la mboga za moto kwa mikono yake, huku mikono yake inaungua lakini amestahimili na kuvumilia huku akitokwa machozi, jasho na damu, kwa ajili ya Chadema!. Kabla hajalitua bakuli la mboga ili watu watu wapakue wote wale, akandua kuwa ugali wake umemwagwa!.
Wakati wanamwaga ugali wake, hakuna aliyekumbuka kuwa anayesubiriwa kuleta mboga watu wale ni Lwakatare, hivyo sasa wote wamenyamaza kimya kusubiria Lwakatare, atafanya nini baada ya kubaini Chadema wamemwaga ugali wake, huku mwenye bakuli ya mboga ni yeye!, sasa hatima ya kama Chadema watakula ama hawali, ikomikononi mwa Lwakatare, baada ya wao kumwaga ugali, Lwakarare akiamua kumwaga mboga, then wanakosa wote!, Chadema ndio inakuwa kwishney!.
Ili uelewa mimi nazungumza nini, ni lazima kwanza ukijue kisa, ambacho ndio bakuli ya mboga.
Ngoma ilianzia Star TV tarehe 30 Dec, 2012
On Star TV: Zitto, Nchemba na Mtatiro ktk mjadala wa kutathmini ya Siasa Tanzania 2012 - JamiiForums
Ndipo hatimaye movie ikapandishwa you tube na hapa ukazungumzia mwanzo mwisho
Chadema wafichua mtandao wa ugaidi - JamiiForums
Mwigulu Nchemba amekiri kuhusika na movie ya Lwekatare - ashikwe na kuunganishwa kesi hiyo - JamiiForums
Kisa chenyewe ni hiki.
Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare - JamiiForums
Chadema ni chama cha ajabu sana!, kinayo katiba yake ambayo inaainisha taratibu zote za nidhamu ndani ya chama, kwanini hazifuatwi na badala yake mnakuja kuwatimua wanachama wenu kihuni huni tuu!, why?!. Kwanini CC ya Chadema inatoa maamuzi ya kihuni na kidikiteta bila kufuata sheria, taratibu na kanuni?.
Kuna watu unaweza kuwatimua kihuni huni tuu kwa kuwafukuza kama mbwa, lakini sio Lwakatare, na sababu ni moja tuu, ameipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu!.
Chadema inapaswa kumyenyekea Lawakatare na kwasababu aliishatangaza kustaafu, Chadema walipaswa kumuacha tuu astaafu kwa amani, haswa kwa kuzingatia wamemfukuza wakati ambao Bunge hili limebakiza wiki3 tuu limalizike rasmi.
Umuhimu wa Lwakatare kuachwa tuu hata afanye nini au aseme nini, ni kumzuia asije kufungua mdomo wake!.
Ikitokea Lwakatare akaamua kufungua mdomo wake na kuyataja madudu ya ajabu Chadema inayoyafanya nyuma ya pazia, ikiwemo ile video mimi niliyoita hapo kuwa "bonafide genuine", Chadema Watakuwa mgeni wa nani?.
Mtu kama Lwakatare anafukuzwaje?.
Kufuatia hiyo video niliyoitaja kule juu, nilipokuta na Msajili wa vyama alisema
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...! - JamiiForums
Sasa hiyo endapo katika bandiko hilo, ndilo bakuli la mboga, Lwakatare amelishikilia, licha ya yeye kunwagiwa ugali wake, anaweza kuamua yeye ndio akose na kulala njaa, hivyo atalitua tuu hilo bakuli la mboga na wengine wote wale, na yeye tuu ndio akafie mbele, ila akiamua kuonyesheana ubabe, na mambo yanakuwa ni ubabe ubabe tuu, maadamu wamemwaka ugali, na yeye anamwaga mboga...
yatakuwa mengine!.
Lets keep watching tukisubiria Lwakatare ataamua nini, ila amini usiamini, hatima ya Chadema, iko mikononi mwa Mhe. Lwakatare!, kubali, kataa!.
Paskali
P.
Tuache kuongozwa na mahaba ya kitoto na wingi wa maandishi, Pascal nakuhehimu sana na ukweli unaujua, CHADEMA is there to stay, mark my word, hata akiondoka Mbowe, hakuna wa kuimaliza CHADEMA na unaujua ukweli.
Kuandika kwa kirefu sana na reference za thread ambazo mwandishi ni wewe mweyewe hakusaidii chochote kile ndugu yangu. aliondoka Zito mkaandika weeee, akaondoka Slaa mkachonga sana, lakini pata picha ya uchaguzi serikali za mitaa mwaka jana, wote tunajua nini kilitokea. Tusijidanganye wala kujifariji kwa mambo ya kitoto. Tujadili issues muhimu. Chadema IFE huku mnamuogopa Mdude Chadema? Hahhahaahaha
Leo hii Wapinzani wametoka Bungeni, Bunge zima limewageuza kuwa mjadala! Why? kwasababu wako strong. kwasababu uwepo wao una mtetemo mkubwa. Tusijifungie Dar na kuandika tu
Yote unayo Sema ni kweli upo sahihi kbs ila lipo kujifunza kupitia andiko lake km amlioni ilo basi hao wananchi wanao wapigia kura kazi wanayo...slaa ni mzinzi wa mke wa mtu! slaa ni msaliti wa ukatoliki...
Hahahaha AmenNa hili ndio neno la leo!
Amen
Mwenye akili tu atakuelewa Ila misukule itakushambuliakulikua na kina thomaso kama ninyi walipokua wanaambiwa NCCR itaondoka kama chama kikuu cha Upinzani, kulikua na kina Thomaso kama ninyi wakati wanaambiwa CUF itasambaratishwa sioni ajabu kama bado wapo hata leo. Hiki chama kikirudisha Wabunge 10 itakua ushindi mkubwa sana kwa CHADEMA. Zitto kama si ujinga wake angeweza kuvuna baadhi na kuwa KUB lakini naiona NCCR inaturudi tena upya itasheheni watu wa maana siyo wa kuburuzwa maana sasa hivi CCM wanaburuzwa na CDM nao Mbiwe anawaburuza udikteta CCM udikteta CDM
YesHatima ya CHADEMA ipo mioyoni mwa Watanzania na wala si kw Lwakatare
Pole,kulikua na kina thomaso kama ninyi walipokua wanaambiwa NCCR itaondoka kama chama kikuu cha Upinzani, kulikua na kina Thomaso kama ninyi wakati wanaambiwa CUF itasambaratishwa sioni ajabu kama bado wapo hata leo. Hiki chama kikirudisha Wabunge 10 itakua ushindi mkubwa sana kwa CHADEMA. Zitto kama si ujinga wake angeweza kuvuna baadhi na kuwa KUB lakini naiona NCCR inaturudi tena upya itasheheni watu wa maana siyo wa kuburuzwa maana sasa hivi CCM wanaburuzwa na CDM nao Mbiwe anawaburuza udikteta CCM udikteta CDM
Kwa siasa zetu huku Afrika mambo hayawezi kuwa ya hakika 'hata by proximity'. Ukisoma Kenneth Kaunda's philosohy of 'African Humanism' anasema mambo mengi mazuri kwetu sisi Waafrika. Hata hivyo, amedokeza mambo tunayofanya na hatukupaswa kufanya hivyo. Anasema kwa mfano: 'Africans have tremendous energy to harbour conflict and can live with contradictions without any problem.' Anaendelea kusema: '...they can lie where they shouldn't, they can smile or laugh where they are supposed to look sad or cry and can say they are fine while they are not...' Hivyo, anything may happen.Wanabodi,
Kuna vitu mimi huwa navisema humu na watu wanavichukulia poa, ila vikija kutokea ndipo wenye uelewa wanaanza kuelewa nilikuwa nazungumzia nini.
Hivi ni baadhi ya vitu nilivyovisema na kweli vikaja kutokea
Sasa ninachokisema leo ni kuwa sio wengi wanajua kuwa hatma ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, iko mikononi mwa Mhe. Wilfred Lwakatare?. Chadema imepakua ugali kwa kila mtu kupewa ugali kwenye sahani yake, Kamati Kuu ya Chadema, wakaamua kuipindua sahani ya ugali wa Lakwatare, na kuumwaga ugali ili Lwakatare asile, huku wengine wote wakiwa na ugali wao kwenye sahani zao, wakisubiri bakuli la mboga litetwe, huku haku mwenye kumbukumbu ni nani aliyetumwa jikoni kwenda kuleta bakuli ya mboga, watu wapakuliwe ndipo wale!.
- Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums
- Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - JamiiForums
- Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii - JamiiForums
- Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG? - JamiiForums
- Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba - JamiiForums
Mara aliyeibuka jikoni na bakuli ya mboga ni Mhe. Wilfred Lwakatare!, Amelishika bakuli la mboga za moto kwa mikono yake, huku mikono yake inaungua lakini amestahimili na kuvumilia huku akitokwa machozi, jasho na damu, kwa ajili ya Chadema!. Kabla hajalitua bakuli la mboga ili watu watu wapakue wote wale, akandua kuwa ugali wake umemwagwa!.
Wakati wanamwaga ugali wake, hakuna aliyekumbuka kuwa anayesubiriwa kuleta mboga watu wale ni Lwakatare, hivyo sasa wote wamenyamaza kimya kusubiria Lwakatare, atafanya nini baada ya kubaini Chadema wamemwaga ugali wake, huku mwenye bakuli ya mboga ni yeye!, sasa hatima ya kama Chadema watakula ama hawali, ikomikononi mwa Lwakatare, baada ya wao kumwaga ugali, Lwakarare akiamua kumwaga mboga, then wanakosa wote!, Chadema ndio inakuwa kwishney!.
Ili uelewa mimi nazungumza nini, ni lazima kwanza ukijue kisa, ambacho ndio bakuli ya mboga.
Ngoma ilianzia Star TV tarehe 30 Dec, 2012
On Star TV: Zitto, Nchemba na Mtatiro ktk mjadala wa kutathmini ya Siasa Tanzania 2012 - JamiiForums
Ndipo hatimaye movie ikapandishwa you tube na hapa ukazungumzia mwanzo mwisho
Chadema wafichua mtandao wa ugaidi - JamiiForums
Mwigulu Nchemba amekiri kuhusika na movie ya Lwekatare - ashikwe na kuunganishwa kesi hiyo - JamiiForums
Kisa chenyewe ni hiki.
Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare - JamiiForums
Chadema ni chama cha ajabu sana!, kinayo katiba yake ambayo inaainisha taratibu zote za nidhamu ndani ya chama, kwanini hazifuatwi na badala yake mnakuja kuwatimua wanachama wenu kihuni huni tuu!, why?!. Kwanini CC ya Chadema inatoa maamuzi ya kihuni na kidikiteta bila kufuata sheria, taratibu na kanuni?.
Kuna watu unaweza kuwatimua kihuni huni tuu kwa kuwafukuza kama mbwa, lakini sio Lwakatare, na sababu ni moja tuu, ameipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu!.
Chadema inapaswa kumyenyekea Lawakatare na kwasababu aliishatangaza kustaafu, Chadema walipaswa kumuacha tuu astaafu kwa amani, haswa kwa kuzingatia wamemfukuza wakati ambao Bunge hili limebakiza wiki3 tuu limalizike rasmi.
Umuhimu wa Lwakatare kuachwa tuu hata afanye nini au aseme nini, ni kumzuia asije kufungua mdomo wake!.
Ikitokea Lwakatare akaamua kufungua mdomo wake na kuyataja madudu ya ajabu Chadema inayoyafanya nyuma ya pazia, ikiwemo ile video mimi niliyoita hapo kuwa "bonafide genuine", Chadema Watakuwa mgeni wa nani?.
Mtu kama Lwakatare anafukuzwaje?.
Kufuatia hiyo video niliyoitaja kule juu, nilipokuta na Msajili wa vyama alisema
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...! - JamiiForums
Sasa hiyo endapo katika bandiko hilo, ndilo bakuli la mboga, Lwakatare amelishikilia, licha ya yeye kunwagiwa ugali wake, anaweza kuamua yeye ndio akose na kulala njaa, hivyo atalitua tuu hilo bakuli la mboga na wengine wote wale, na yeye tuu ndio akafie mbele, ila akiamua kuonyesheana ubabe, na mambo yanakuwa ni ubabe ubabe tuu, maadamu wamemwaka ugali, na yeye anamwaga mboga...
yatakuwa mengine!.
Lets keep watching tukisubiria Lwakatare ataamua nini, ila amini usiamini, hatima ya Chadema, iko mikononi mwa Mhe. Lwakatare!, kubali, kataa!.
Paskali
P.
Hiyo ni mipasho ya kwenye vigodoro, siku ukija tena njoo na HOJA.Lwaka kalipwa fedh, alikuwa na wadhifa wa juu lakini hizo kasfa ni za kitoto na hazina uhalisia.
Hivi Mbowe ndiye wa kutoka na wanawake wabunge viti maalumu tu, hawezi kutoka na wa majimbo?
Hawezi kutoka na watoto wa CBE na UDOM kama ambavyo wabunge wa upande wa pili wanafanya?
Mbowe ana ratiba kama mfalme sulemani kuzungukia wabunge wote wa upinzani na kulala nao?/
Mbowe hana mke?
you nailed it!🚶♂️🚶♂️Huwa napenda kusoma unachoandika mr mayala lkn nimeanza kugundua ww sio makini kama nivyodhani. Tatizo lako unapenda sana kushinda jamii forum kiasi kwamba umeishiwa vya kuandika. Hivi kuna kipya gani anachokijua rwakatare ambacho usalama wa taifa hawakijui kuhusu cdm? kiasi kwamba rwakatare leo akawa hatari kwa cdm kuliko tiss!
Wanabodi,