Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

Nakubali CDM itakufa kwa maagizo ya bwn mkubwa na ndiyo lengo lake kubwa, badala ya kuhangaika na shida za wananchi yeye ana hangaika na Chadema matokeo yake miaka 5 yote inaisha hakuna la maana zaidi ya porojo, ataiua kwa kumtumia msajili, NEC, dola na Spika
 
Unazeeeekaaaa vibaya mzeeeee inawezekana unaiota cdm daily itakuoa soon
 


Na hili ndio neno la leo!

Amen
 
Mwenye akili tu atakuelewa Ila misukule itakushambulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa napenda kusoma unachoandika mr mayala lkn nimeanza kugundua ww sio makini kama nivyodhani. Tatizo lako unapenda sana kushinda jamii forum kiasi kwamba umeishiwa vya kuandika. Hivi kuna kipya gani anachokijua rwakatare ambacho usalama wa taifa hawakijui kuhusu cdm? kiasi kwamba rwakatare leo akawa hatari kwa cdm kuliko tiss!
 
Pole,
Yaonekana umezoea sana mazoea.
Sasa huyo uliemzoea kuwa wa kubaki ndio ataondoka, kwani yeye kama chama hana mvuto kwa wananchi, wakulima, wanyonge na wengine wanaojitafutia riziki,ila alishazoea kubakizwa.
Ulaghai na vitisho vingi havibabaishi tena watu.
 
Kwa siasa zetu huku Afrika mambo hayawezi kuwa ya hakika 'hata by proximity'. Ukisoma Kenneth Kaunda's philosohy of 'African Humanism' anasema mambo mengi mazuri kwetu sisi Waafrika. Hata hivyo, amedokeza mambo tunayofanya na hatukupaswa kufanya hivyo. Anasema kwa mfano: 'Africans have tremendous energy to harbour conflict and can live with contradictions without any problem.' Anaendelea kusema: '...they can lie where they shouldn't, they can smile or laugh where they are supposed to look sad or cry and can say they are fine while they are not...' Hivyo, anything may happen.
 
Hiyo ni mipasho ya kwenye vigodoro, siku ukija tena njoo na HOJA.
 
you nailed it!🚶‍♂️🚶‍♂️
 

Cdm hailujengwa kupitia mtu bali watu cdm haifi kwa porojo kama cdm itakufa kama kitaacha msingi wake muhimu alikuwepo kaborou alikuwepo zzk waliondolewa cdm haikufa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ko ikifa we unaumia nini?

Tatzo lako skuiz umekua mnafiki sana bro.
Amwage huo utopolo wake alafu aone yeye na chama nani mkubwa.

Pascal skuiz unekua na mwenendo usio sahihi yaaani kwa umbaaaaaali umeanza kuwa kama wale wa dodoma mile mb e.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…