Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

Hahahaaaa....dadeki!!
 
Unaona ulivyo "mjinga"? Uliandika ujinga hapa ukajiona eti mwandishi wa habari! nipe mrejesho kwa andiko lako hili na hali ya CDM leo! Lkn kama Msukuma huwezi kujifunza angalau kwa hili!
 


Hawa wakina Pascal ndo walikuwa wanamdanganya Magufuli. Akaona kampen zitakuwa nyepesi, kwaiyoo hakujiandaa vizuri.
 
Sasa waweza jua Mayalla ni njaa[emoji1][emoji1]
Tarehe 28 oct 2020 Mayalla utajua Hujui

Sent using Jamii Forums mobile app

Uzi huu Pascal aliuanzisha tarehe 14 May 2020 ukajadiliwa na ukafa lakini kwa vile vitu vya JF huwa haviozi basi watu wakachimba kaburi na kufufua hoja hii tarehe 18 Sept 2020 na kuendelea kujadili mpaka leo hii ni siku 33 lakini Pascal hajatia neno wala ku click deslike,

Nakushauri Pasco acha kulisha watu matango pori na hasa hiyo hoja yako mfu ya chama kufa eti kwa sababu Lwakatare kafukuzwa, alifufutwa uanachama Dr Slaa na chama ndio kwanza kinazidi kukomaa kuliko kipindi chake, leo Bashisru au Polepole akifukuzwa CCM nani kakuambia uwe na fikra kwamba CCM itakufa?

Panda jukwaani uje hapa kujibu hoja zako kwa Lwakatare na wana Bukoba ambao binafsi nafikiri wamekujibu kupitia kwa Chief Kalumuna na kama sio Tume hii tuliyonayo sina wasiwasi tayari huyo bwana ni Mbuge wa Bukoba mjini
 
Nahisi amekula ban
 
Wewe jamaa mwongo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…