Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

Asante sana mkuu kwa kujibu hoja kwa umakini mkubwa

In God we Trust
 
Mbona magufuli aliwatupa kapilimba, January IGP aliyepita hawakumwaga mboga? Rwakatare akijidai kutengeneza uzushi laana ya wanachadema haitamuacha salama
 
chadema yangu na dr slaa iliisha sasa nachungulia tu naishia kuchezesha midomo pasipo kutoa sauti, waliniharibia mudi yangu. DR WANGU WA UKWELI HAYUPO CHAMANI
 
Sheria zitakipoteza, soma sheria inasema nini kwa chama cha siasa kujihusisha na vitendo vya kigaidi, na kama hujui pia ugaidi ni nini kasome sheria ya ugaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina

In God we Trust
 
Hivi kati ya Mtei, Slaa, Ndesambulo na Lwakatare nani alikuwa na siri za chama? chama ni taasisi ndio maana unaona vyama vingine vinaongozwa na wehu lakini bado vina brand ya kuokoteza kura za wajinga!
 
Kwa hiyo yeye feleshi atamkwepesha rwakatare na jinai,

alafu mashitaka ya jinai yatafunguliwa Chadema (baraza LA wadhanini ) au MTU mmoja mmoja?

Nchi imejaa majinga kama Huyu kiazi
 
Kaka yangu Pascal Mayalla sijui umekumbwa na nini siku hizi....

Anyway, Muda ndiye mwamuzi, lakini tukumbuke yulw muhaya aliyewahi kusema "Duniani tunatakiwa kumuogopa Mungu na mitandao"

In Vino Veritas (In Wine Lies the Truth)
 
Mnakuwa kama mmelogwa hivi , yaani Lwakatare ndio wa kuuwa Chadema ! Ni aibu sana kwako Mkuu , hivi nani anaweza kumsikiliza Lwakatare kwa muda huu ?
 
Sheria zitakipoteza, soma sheria inasema nini kwa chama cha siasa kujihusisha na vitendo vya kigaidi, na kama hujui pia ugaidi ni nini kasome sheria ya ugaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
UGAIDI wa CHADEMA ni upi? Kilishawahi kuua? Kuteka? Kupoteza? Au kushirikiana na maharamia? Au kupanga njama za kuipindua serikali?
 
Kwa hiyo yeye feleshi atamkwepesha rwakatare na jinai,

alafu mashitaka ya jinai yatafunguliwa Chadema (baraza LA wadhanini ) au MTU mmoja mmoja?

Nchi imejaa majinga kama Huyu kiazi
Hahaha...wakati jinai inaendelea soma sheria ya vyama vya siasa inasema nini kwa chama kujihusisha na vitendo vya kigaidi, mtafurahi tu mwaka huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka yangu Pascal Mayalla sijui umekumbwa na nini siku hizi....

Anyway, Muda ndiye mwamuzi, lakini tukumbuke yulw muhaya aliyewahi kusema "Duniani tunatakiwa kumuogopa Mungu na mitandao"

In Vino Veritas (In Wine Lies the Truth)
Anaweza kuwa kazeeka tu , unajua wabongo wanaishi kwa dhiki sana mpaka wanadumaa , sasa huyu pascal mnaweza kudhani kijana kutokana na udumavu kumbe ni kikongwe , nilikuwa naye kwenye KITIMOTO wakati ule alikuwa kakomaa sasa lazima atakuwa kakongoroka tu
 
WANGEJUA KUNA MBOGA YA KUMWAGA WASINGELIMFUKUZA, KAMA FULANI AMBAVYO HAWEZI KUMFUKUZA PAMOJA NA MAOVU YOOOOOTE ANAYOYAFANYAFUKANI
Mtaje jina? Wenye siri kubwa za chadema ni Lisu mbowe mdee mnyika lema na wengineo wachache na hao polepole keshajaribu kuwanunua kashindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…